@fatemagdewji: Simba isingekuwa Simba bila upendo, uaminifu na hamasa kubwa ya mashabiki wetu! ❤️🦁 Kutoka kwa kaka yangu Mohammed Dewji (MO), mimi mwenyewe na familia yetu nzima, tunawashukuru kwa kuendelea kusimama na Simba katika ushindi na changamoto zote. Ninyi ndio moyo wa Simba! Tunawapenda na kuwathamini sana kuliko maneno yanavyoweza kueleza! SIMBA NI FAMILIA. NGUVU MOJA! ❤️🤍 ⸻ Simba would not be Simba without the incredible love, loyalty and passion of our fans! ❤️🦁 From my brother Mohammed Dewji (MO), myself and our entire family, thank you for standing by Simba through every victory and every challenge. You are the heartbeat of Simba! We love and appreciate you all more than words can express! SIMBA IS FAMILY. NGUVU MOJA! ❤️🤍