mimeelewa vizuli kwa hiyo peni ina pande mbili zote zina sumaku hapo pesa haijatobolewa alipotaka kuitoboa amegawanisha hiyo peni then akaishikisha angalien vizuli
2026-10-22 09:55:53
4
iam_wizzycomedian :
Hii kalii kk😂😂😂😂
2026-10-23 12:01:03
4
Chazy Luhende :
nani ametisha hapo💥💥
2026-10-22 13:39:39
0
jackpotjonathan :
hiyo kalamu ina vipande viwili vimeundwa kwa sumaku apo umeachanisha kimoja kikawa juu kimoja chini ya noti😂ukivuta chini juu inavutwa na sumaku😁
2026-10-22 18:34:27
0
chylu mody :
Apo tumekushika kijana.... Umetofautisha vipande iyo pen
2026-10-22 21:28:35
3
BABAYAGA :
both team to score
2026-10-21 19:07:08
1
Godwin Masawe :
yani kwakitaalamu tunaita mjuaji kakutana na baba yake
2026-10-23 20:55:13
1
Hassanizo :
shida iko hapo jiulize anafanya je apo
2026-10-23 03:15:52
4
Japhet creative 🇰🇪🇹🇿 :
apo kuna mambo hayo ✌️
2026-10-22 07:27:11
1
Devigermakonge Deviger :
aoo kuna mambo aya✌️
2026-10-22 15:46:59
1
Nasrii🇹🇿 :
Mpaka Sasa Ni 1:1
2026-10-21 18:27:57
2
asi.fiwe :
yote 9 kumi tuwe makini na iz hela kwenye biashara zetu
2026-10-22 07:48:46
1
jems creater Tz follow there :
ow iyo mashine naipata wapi nitambe nayo
2026-10-21 19:15:33
2
ipm :
sijaelewa
2026-10-21 19:17:06
1
vee.gracious@😘 :
ikabidi acheke baada kugundua utapeli umefeli hhhhhh 😭😭😭
2026-10-22 14:18:12
1
$ULTRA$ :
apo kuna mambo haya mawili
2026-10-21 20:06:14
0
MUUZA MAJI VITANI :
muhuni kakubal eti wewe muhuni
2026-10-25 01:59:09
0
Joseph Tete :
hii yenyewe 😂😂😂
2026-10-24 19:22:04
0
Ayan galaxy :
😮💨😮💨🙄eeeh
2026-10-21 18:33:10
0
To see more videos from user @tc_vency, please go to the Tikwm
homepage.