wengine hatahuyo baba hatukumuona kabisa tumekua tukimuona mama tu inauma sana malezi ya baba nimuhimu sana kwa mtoto wa kiume
2026-10-21 19:50:40
4
KISIWA CHA UPWEKE :
hakili kubwa sana mtu wangu
2026-10-22 05:25:24
3
🌹Asha🌹 :
Mimi wa kike lakini napenda ambavyo baba angu anashugulikia mambo yake apa tumemaliza kula ndizi mungu naomba nitunzie baba angu Inshaallah 🙏
2026-10-21 18:41:55
7
khadijasalum01 :
aliwezaje kutoboa ktk yote haya
2026-10-22 03:12:18
2
Godlove in Wheels :
sahihi kabisa
2026-10-22 05:10:44
1
Asukiss666 :
Kaka nimekubali sana
2026-10-21 20:05:10
2
Ryan Paschael :
me hata sikueza kuona ukali wake labda ange nipenda sana
2026-10-21 20:13:44
1
Abilaly🔥☑️ :
asee ndo naanz kuelew nin baba alikuwa anatuelekez haswa kusisitza kufnya ktu perfect hata kama n jambo dogo na siyo kufanya holela wanadamu weng wanapend vtu perfect
2026-10-21 20:27:36
2
Bariki Mashauri :
akili
2026-10-22 07:50:35
0
Ethan Alvin☠️💔B :
daaahh umenigusa san yaan,
2026-10-22 07:25:31
0
Asukiss666 :
kaka hexhim yako itukuzwe
2026-10-21 20:05:41
1
Zizu :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-22 04:49:28
0
To see more videos from user @ukweli.wa.maisha5, please go to the Tikwm
homepage.