siez ogopa laana ya mtu niliejuana nae ukubwan nitaogopa laana ya mzaz tu
2026-10-21 20:05:35
4
Jennifer Jordan :
zaburi 109
2026-10-22 11:37:03
3
odetha-wear :
Wamuulize babang [Teary eyed]
2026-10-22 10:34:59
2
user7457690732658 :
wambie wasikie nina machungu naye sana
2026-10-22 18:40:28
1
lod@33 :
sahihi bro Yani hili nitalizingatia nipatapo jaguo langu👊
2026-10-21 18:39:33
3
MANOVATZ :
dah bab yangu alimzalau mama na kuona sio lolote wakati wameanza kuishi wanakaa kwa mtu kwa kusaidiwa mama anaangaika na kuuza mboga mitaani wakaja kuwa matajiri dah mama akasema kwakua unanizalau sawa endelea na wanawake wazuri pia sitaki chochote vyote nakuachia dah Leo hi baba angu yupo kama ndo anaanza MAISHA akuna Tena magar amaduka nyumba 😭😭😭😭
2026-10-22 13:54:36
1
Mîsojî :
Amin
2026-10-22 07:13:54
1
Laurensia :
baba ni kweli maan mm imeona kweli🥰🥰
2026-10-22 07:41:24
1
George Masunga :
amina
2026-10-22 20:01:22
0
Rpg :
Amen 🙏
2026-10-22 05:55:06
1
MP ELIAS :
sisi tuna kutana na wake zawatu 😂😂😂
2026-10-22 18:22:32
0
m :
waambie bro
2026-10-22 17:12:15
0
MAOMBI NA UPONYAJI :
nawanawake wanapotuachq kwakuludiana nawanaume wao wazamani wao inawatokea nini?