Never stop praying no one is sinless Allah sw is most merciful
2026-10-22 07:25:54
13
Chiku❤️ :
Hata hio kinafki ni swala kuliko kutoswali😁 bora tuswali tuu…Mwisho wa siku Allah ndo mjuzi wa kila kitu
2026-10-21 20:42:55
26
@thepeoplesverdict :
Niya yako ndio foundation ☺️
2026-10-31 09:41:39
3
ussama hassan :
swalah ni lazima.. but isiwe sababu ya kufanya dhambi
2026-10-22 04:37:02
9
Ladies' Darsa :
You are rightly guided my sister
2026-11-05 17:51:49
1
_Hummingstar :
Bora ni kuswali hata kama umefanya dhambi.Mwenyezi mungu anasema إِنّالْحَسَنَاتِ يُذْهِبْنَالسّيِّئَاتِ"... indeed good deeds removes bad deeds" Na Allah pia anatukataza kukata Tamaa na rehema Yake (Surah Az-Zumar)
Consider the hadiths of the prophet( S.A.W)"العَهْدُالّذِي بَيْنَنَا وَبَيْنَهُمُالصّلَاةُ، فَمَنْتَرَكَهَا فَقَدْكَفَرَ" “Ahadi iliyo baina yetu na wao ni Swala; basi mwenye kuiacha, amekufuru"
"بَيْنَالرّجُلِ وَبَيْنَالشِّرْكِ وَالْكُفْرِ تَرْكُالصّلَاةِ"
And in surah Al-Furqan,Allah teaches us that even if we fall into serious sins like killing,Shirk and zinaa the door of Allah's mercy remains open.Allah calls such a person to repent,believe and do good deeds.
sinning shouldnt be reason to abandons swalah.والله أعلم
2026-10-22 05:17:05
3
ARSENAL TO THE WORLD :
you are very right, once that swala becomes consistent it will take out the sinful behaviours
2026-10-23 15:09:23
6
Ranadan❤🇰🇪 :
Mashallah May Allah SWT guide us protect and forgive all Muslim 💯💯💯💯♥️♥️♥️♥️♥️
2026-10-24 07:21:34
1
mamuh💯 :
swala ni ufunguo wa kila kheri. hakuna sababu ya kuacha swalaa kwasababu umefanya dhambi
2026-10-21 18:06:28
4
Eddy-incredible :
no matter what usiache swala.
2026-10-23 08:11:57
1
Natural Health 'n' Beauty 🌱 :
ukiwa unaswali, hata kama unafanya dhambi, ukiswali kwa khushui na kwa usahihi, sala itakukataza tu na dhambi, lazima utaona haya ya kufanya dhambi
2026-10-22 04:11:31
2
king king :
Swala ni lazma na madhamb sio sababu ya kuacha swala.
2026-10-22 13:32:38
2
Farid Mohamed :
ukamilifu wa binaadamu ni kukosea lakin ni must kwa muislam kujiepusha na madhambi makubwa (kabaairudhunuub) mengine madogo hatuwez kuepukan nay tufany toba kila wakat Allah ni mwingi wa kusamehe kwa njia hii ndipo tunawez tukasal na taratibu kufikia lengo la sala
2026-10-21 22:16:21
3
Bambeelnimo :
Hakuna aliye msafi hata anayeswali,tukisema ukifanya dhambi hufai kuswali hakuna aliye bila dhambi kwa hivyo sote tusiswali au....Tuswali licha ya yote
2026-10-23 12:23:30
2
farida :
hakika swala ndio itakufanya uiache hiyo dhambi tusiache kuswali
2026-10-22 15:49:04
1
Maysam❤️ :
Na amesema Inna Allāha yaghfirudh-dhunūba jamī’an.
2026-10-31 07:24:45
1
ummu ridhwan :
Sina ilmu yakuzidi,ila yote ni kweli,swala isikupite kwa vyovyote vile ,sisi ni binadamu kukosea ni katika maumbile yetu,ila tujitahidi kutubia ki kweli
2026-10-23 05:59:57
1
Mr.LONELY💔 𝑰𝒍𝒂 𝑯𝒂𝒅𝒂𝒍 :
well said 💯✅
2026-10-22 20:19:47
1
MBWANA RAJAB :
Subhaanallha
2026-10-21 17:45:11
1
Rany :
Nakuunga mkono tuswali bhana
2026-11-05 18:30:18
1
Karu :
Kabala ya kua na msimamo tusomeni
tumeamrishwa kuswali na tumeamrishw kuacha Dhambi na haimanishi kua ukifanya Dhambi bc usiswali lazima uswali na ujipinde kuacha Dhambi pia ijulikane hakuna mto aliye kamilika Ndio maana Allaah ni mwingi wa kusamehe
2026-10-22 18:57:16
1
VIBING WITH GAUCHO :
ili swala ikukataze mauvu lazma uswali, so uko sahihi kabisa no matter what you do you must pray
2026-10-22 22:07:30
1
Zulpha Beauty :
Itakukatazaje kama huswali? inge kuwa swala ni wasio na dhambi basi hakuna ambaye angeswali. Sasa yeye hana dhambi? mbona yuwa swali manake hakuna mwanadamu hana dhambi
2026-10-23 01:25:07
1
Saidi Omar Couture :
usiache swala kivyovyote vile ipo siku tu hayo madhambi utayaacha.Binadamu wote ni wakosaji kuswali hakumfanyi mtu kuwa mkingwa madhambi.Fuatishia ovu kwa jema litalifuta DHAMBI hilo
2026-10-31 19:02:50
0
Yahya Mohammed :
salam haina off
2026-10-22 04:51:35
0
To see more videos from user @zuraamabayas1, please go to the Tikwm
homepage.