@fredrickmulla: Akiki Dadi ni zaidi ya Diamond💎 #akikidadi #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #afrohouse @Akiki dadi

Master Manondo
Master Manondo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 17:54:30 GMT
52521
3505
155
39

Music

Download

Comments

chim0nit
ℭ𝔥𝔦𝔪'ℭ𝔥𝔦𝔪 :
the first tz to win a grammy
2026-10-21 19:15:06
27
billymkiza
BillyBaker🦇 :
Numbers dont lie broo
2026-10-27 04:23:41
1
v0nni_3
𓅓 :
Spotify anajiita nan?
2026-10-21 18:46:05
1
dmoney.ommry
D empire :
Endelea kumpigia promo akikiDadi ili tumjuwe
2026-10-21 21:51:48
11
chimper_zanzibar
Chimper_Zanzibar :
Sio zaid ya diamond
2026-10-21 19:45:22
5
giantboy45
Mr Giant :
Akiki dadi
2026-10-21 18:39:01
5
kingvuai
King Vuai🇹🇿 :
vitu anavyovifanya hakuna wasanii ambayo wamefika kuvifanya tuambie kafanya nn cha kumzidi rayvany tu
2026-10-22 13:19:41
0
ease.paper
JOEL :
Unazungumzia mtu anacopy mifumo ya nchi za Njee, aimbe bongofleva halisi aitangaze sio Maneno tu
2026-10-22 07:18:42
0
venance.aber
v square, :
umechelewa sana kumjua kaka
2026-10-21 18:27:43
0
user3471502919169
Mr. :
shida sio kulipwa shida ni ana nin
2026-10-21 19:46:20
2
dadylingz
lingz :
em mpumzishen diamond jaman
2026-10-21 18:57:18
1
littlerabbit360
METLUX UNLOCKED :
Akiki dady noma sana 🔥🔥🔥
2026-10-21 20:26:01
8
mungiki_west
Nastah_traveller :
ulichomaanisha masta manondo ni kwamba akiki Dadi ni zaidi ya almasi(diamond) Ina maana ana shine mbali, kuna watu watajua manondo anamuongelea msanii fudenge
2026-10-21 19:06:16
1
wildad_blvck
𝖂𝖎𝖑𝖉𝖆𝖉 𝕭𝖑𝖛ç𝖐_ 🎲 :
Kwani kuna ulazima diamond kumuongelea jamanii
2026-10-21 18:46:54
0
buyboy7
buyboy7 :
si atumjui bana
2026-10-21 20:56:46
0
mosesanga
Real Mo 😇 :
Fact anko manondo📌
2026-10-21 18:14:13
0
kingvuai
King Vuai🇹🇿 :
msituchanganye huyo sio wa kumfananisha na mondi mnananisheni na wasanii wenu mnavyosema wananii wakubwa muwe na mipaka
2026-10-21 22:00:13
0
kingvuai
King Vuai🇹🇿 :
mtu anaepanda prvt jet mnaenda kumfanabisha na wa nende ya economic hem tujitamvue
2026-10-21 22:01:40
1
bignovicelee
NoviceLee :
Ukweli mchungu 📍😁
2026-10-21 19:59:02
1
iaa.professors
IAA PROFESSOR🎒 :
uyu wawap
2026-10-22 15:01:44
1
makombora_0
makombora :
babu mbn izo nyimbo ni mbaya au me nna maskio mabaya
2026-10-22 16:19:53
0
mabulasahani
san's :
mbona simjui
2026-10-22 11:57:55
1
ally_voltx
Ally Voltx⚡ :
Sema anaongea sana 😂
2026-10-21 20:18:38
1
dukanikwampare
mpare_collection🛍 :
unamkosea sana Diamond brooo
2026-10-23 20:11:43
1
erren_ken
erren_ken :
hii nondo kali sana najua hua unafanya utafiti vzr 🔥🔥🔥🔥 ngoja tuanze kumfatilia
2026-10-21 19:24:15
0
To see more videos from user @fredrickmulla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About