@nabii_denis_tanzania: #2026_THE_YEAR_OF_BRADIGA_SATAYA

Nabii Denis Tanzania 🇹🇿
Nabii Denis Tanzania 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 18:11:31 GMT
16731
703
31
21

Music

Download

Comments

malcommohammed916
art_theprintshop :
mimi najua bwana anatusaidia kupitia wewwe usituache nyuma sanaaa mtu wa Mungu🙏
2026-10-21 18:25:14
5
meccah12
Chris :
Mara zote umekuwa mnyenyekevu sana na mtu wa Mungu usiye na mzaha na dhambi, ubarikiwe, Yanga mnajua namba ya Kutuma Sadaka, tufanye jambo mpaka mtumishi ashangae kwamba ni nini hiki, twende kazi kwa Nabii
2026-10-21 19:20:36
2
jojinalangau
jojinalangau :
Endelea kutushika mkono baba mtumishi mungu mwema.
2026-10-21 19:16:14
1
mkapanyangoko
Mkapa Nyangoko :
mh saw tumeamin sisi akina tomaso
2026-10-21 18:40:50
1
giana.frank
Giana Frank :
Ubarikiwe mtu wa Mungu mimi ninamwamini Mungu unayemtumikia,Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu
2026-10-21 18:28:59
2
kesia.mbasha
Kesia Mbasha :
Amina mchungaji
2026-10-21 18:21:25
1
lusule1
THOMAS TILEKA :
Mtumishi niombee niache dhambi!
2026-10-21 18:20:54
0
sautiyamtale
Sauti ya MTALE :
safi sana
2026-10-21 18:20:47
1
doublea244
A1 :
Kumbe sio mimi tu nakuanga busy hadi Mungu Duuuh😅😅😅😅
2026-10-21 21:09:36
0
usernyakisuda
it's me_#@.... :
Nina kuamini sana ww
2026-10-21 19:42:27
0
captain_scott099
Captain_Scott :
mtumishi si unaweza muombea Dumbia aendelee kushinda?
2026-10-21 18:42:11
1
user8500013907353
Irene kafem :
mmmh ww noma
2026-10-21 19:35:40
0
charitys.classic
charity's classic dress :
naogopa sana kuongea neno hapa ila ki ukweli Mtumishi unashindwa tu kuwa wazi kuwa wewe ni Simba na u always stand on that side so hongera kwa ushindi.... nakukubali sana kwa kweli hujawahi tabiri kitu kisitokee and I salute the grace ... tu kama mtumishi wa Mungu jaribu kuwa na moyo wa Yesu wa kuwapemda watu wote
2026-10-21 19:33:46
0
the.god.wine.97
The God wine 97 :
Ahsante mtu wa mungu
2026-10-21 20:24:22
0
kingkaka.mwasungo
Kingkaka Mwasungo :
𝑨𝒎𝒆𝒏𝒊 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒏𝒊𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂
2026-10-21 19:25:27
0
albertstivin
Albert furniture :
Ameen mtumishi 🙏
2026-10-21 18:51:47
0
graciousdeograty
Coletha Mwambigiri. :
amen amen baba yametimiaa🥰🥰
2026-10-21 19:06:07
0
malcommohammed916
art_theprintshop :
baba mbona hii video imechelewaaaa
2026-10-21 18:24:12
0
beatrice.lyimo82
lady B🌺🐝🦋 :
hapo kwenye mti mkubwa kudondoka,Amina
2026-10-21 22:27:38
0
dcomtz
Dcom :
Natamani kujifunza kutoka kwako! Kuna jambo nalitamani sana kwako Baba! I wish kufanya jambo ambalo litasaidia kitu unachokitamani (Mimi najua nini unatamani, na hakuna aliekifanya) naomba nikifanye mimi! Niruhusu kuja DM tafadhali🙏🏼…Ufalme wa Mungu unajengwa na wana Wa Ufalme!
2026-10-21 18:52:36
1
philogam
sunnahang :
𝙼𝚋𝚘𝚗𝚊 𝚞𝚕𝚎 𝚞𝚗𝚊𝚋𝚒𝚒 𝚖𝚠𝚒𝚗𝚐𝚒𝚗𝚎 𝚑𝚊𝚞𝚝𝚒𝚖𝚒𝚒𝚒𝚒??
2026-10-21 21:17:16
0
gofrey96
user4030609935617 :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-21 19:07:36
0
user90240616068383
tumsifu mbiliny :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-21 20:13:17
0
bikowabikos
bikowabiko's :
👏👏👏👏
2026-10-21 18:41:02
0
alfred0107200
[email protected] :
🫡🫡
2026-10-21 20:30:02
0
To see more videos from user @nabii_denis_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About