@innocent_raphael: Mipaka ya Dini na Dola: Somo Kubwa Kutoka kwa Mwalimu Nyerere! 🇹🇿📜 ​Katika uongozi bora unaozingatia misingi ya kisekta kama ambavyo wanafalsafa wa siasa wanavyotufundisha serikali inapaswa kujikita katika takwimu za maendeleo, umri, elimu, na ustawi wa jamii, na si masuala ya kiroho ya mtu binafsi. ​Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alisema "Sisi hatujengi misikiti, hatujengi makanisa, hatujengi mahekalu, hili swali la dini ya mtu tunaliuliza kwa nini? Linatuhusu nini? Tunataka kujua umri wa watu. Kwa sababu hiyo ina maana tunataka kujua kama watu wanajua kusoma na kuandika..." ​Huu ni msimamo unaoweka wazi mipaka ya serikali na taasisi za kidini ambapo maimamu na maaskofu kufanya kazi zao. #siasa #innocentraphael #innocentraphael #tanzaniatiktok

Innocent_Raphael
Innocent_Raphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 18:46:15 GMT
29315
1223
34
62

Music

Download

Comments

nkosi.mbonane5
Nkosi Mbonane :
Huyu alikuwa ni MJAMAA communism hasa dini sio priority kabisa huyu 😂
2026-10-22 18:35:03
7
richngowi
RICHARD NGOWI :
Hapo simwungi mkono.
2026-10-22 11:00:02
0
rajabissa990
rajabissa990 :
akili kubwa sana..very gifted and a true patriot
2026-10-22 17:23:23
1
goodluckdosantos2
MR.luxe Wigs :
Yaan alikua mtu kwenye mambo ya serious unaona sura yake inamaanishaa
2026-10-22 09:53:50
5
muhammed.machano
Muhammed D :
Mm MUISLAM BILA DINI ULIMWENGUU USINGE KUWEPOO TUMCHENI MUNGUU MAISHAA MAFUPI SANAA WENGI WALIPITAA LEO WAKUWAPII 😭😭 IKI KIZAZI CHA ELF 2000 SIO CHA 70 KILA KITU KIPO WAZIII
2026-10-22 23:38:40
0
cruz1234og
Ted Cruz🇹🇿🇳🇱 :
kaongea facts sana
2026-10-22 15:16:30
1
user22063934525220
Kaijage Kyoma :
True..✍️✍️
2026-10-22 13:32:12
1
elisha.samweli4
HAKUNA JAMBO GUMU KWA MUNGU :
mimi naomba maneno haya ya wekwe kwenye wimbo wa taifa kuna watu ambao wanafikiri nchi hii inawza kuwa ya dini furani
2026-10-22 06:22:56
3
hsihsbwojsbksk
Gabriel :
Huyu alikuwa sahihi,yaani utakuta muislamu au mkristo wameshika dini tena huwambii chochote kushika imani za watu
2026-10-22 18:10:19
1
user2201744608714
0759232678 :
wanafiki wasemayo siyo watendayo
2026-10-22 22:45:05
0
oritybashiru452
mgodo jr :
sisi ni machifu bn dini inatuhusu nn
2026-10-22 14:16:25
1
user99202394537020
Daniel :
kiongozi ziku zote
2026-10-22 03:13:01
1
bdoykizza
dav boy :
Alikua ana blein
2026-10-23 01:04:58
0
thomas.deogratius7
Thomas Deogratius :
ndio aya ssa
2026-10-22 21:10:04
0
paschal49
Pascal@93 :
huyu alikuwa mtu akili kubwa👍
2026-10-22 20:51:33
0
user8878446875343
mosh kidd :
baba ulikuwa mbele ya muda
2026-10-22 23:21:54
0
alain2637
Balezi Bm :
mwalimu
2026-10-22 21:53:02
0
weja001
weja do santos :
genius la kale
2026-10-22 20:19:49
0
j.cobra.com
Jcobra :
haituhusu kweli
2026-10-23 04:05:13
0
josephyobegwa
Joseph yobegwa :
Huyu alikuwa kiongozi bola kabisa hii ni bola kabisa Amemjibu Ruwasa na Makonda.
2026-10-22 18:03:34
0
paskali.indae
pasikali indae,🇹🇿🇹🇿 :
Nyerere njoo usome comment ujue Kuna wasaliti
2026-10-22 18:46:38
0
saad.hatibu
Saad Hatibu :
Kabisa babu yet maana tunaangaika kusoma history za mizimu ya kiarabu na wazungu’yan watu walitufanya watumwa wao na wengine mpka kuwahac babu zetu alafu watu hao hao et wanakuja na vitabu vyao et wanamjua mungu kuliko cc waafrica aisee bac tu
2026-10-23 04:03:11
0
yussuf.shine
Ashiine :
🥰🥰🥰
2026-10-21 19:02:32
0
suluhunisulubuoo3
SULUHUNISULUBU003 :
💪
2026-10-21 20:02:30
2
user5099272737923
mohamed [email protected] :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-21 21:05:04
2
To see more videos from user @innocent_raphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About