dah akifany ivyo kaka mpotezee japokua itakuuma lakin akuna namna🤕😢🥺
2026-11-19 08:32:33
1
sadun selemani :
daah noma sana brooo😅😂😂
2026-11-17 22:29:24
1
CHRI8 QUOTE :
unajua mkuu 👊👊
2026-11-02 06:28:17
1
&SHUSHU👻KiDD💥artist👀 :
nipe nyingine
2026-11-18 12:47:51
0
Ignas Kayombo :
tuko wengi sana mkuu
2026-10-22 17:51:56
4
RANVEER :
daaah bro imenitokea hiyo imenigusa san hiyo nipe moj kunipoza
2026-10-22 14:27:28
4
frank ug :
kaka umenigusa sana
2026-10-30 21:57:57
1
Chris ferniture home :
nishawai fanyiwa ivo ala kunasiku tulikutana 😱nika
mliza mbona ivo akajibu kisina 💰😿 siku umiaa sana ila alinitia nguvu yakupambana asaivi nipo naalo kuaana nijazia akili kipindi natafuta hela ya manukato 😹😹😹😹😹😹😹😹