@drreginauisso: Matumizi ya chatgpt sio mabaya ila ikitumiwa na mtu ambaye hana taarifa sahihi za afya inakua ni changamoto kwani matibabu yanaweza kuwa sio sahihi na pia yanaweza yasiendane na miongozo na tafiti mbalimbali ambazo zimefanyika kwenye eneo unaloishi. #chatgpt #hospital #doctor #google #treatment
nawezaje kupata vitabu hard copy kpenz especially Hutchison
2026-10-21 19:49:48
0
freman :
Iko ni kam Frankwood cha Accounting tu 😏😏 ten cha Certificate 😂😂😂 ila nawakubali san madaktar 🥰🙏💪🙌. Big 🆙 wanang
2026-10-21 22:28:32
0
Mòhēngā :
The truth Dr
2026-10-21 20:26:46
0
Dr michael. :
Watu wasipoheshimu taaluma za watu hawatakuja kuijua Dunia. Haya mambo ukikumbuka duuh.
2026-10-21 19:00:11
11
@ramadhanima7 :
mmmmmmmh
2026-10-21 21:08:47
0
Onedirection🇹🇿 :
Hicho ni kama kitabu kimoja cha somo la network tu
2026-10-21 20:00:06
4
the practitioner 💊🩺😜 :
mda wa kubembeleza sikuizi sinaga aseee mzazi kaleta mtoto naona ana dalili za pneumonia crackles kama zote ma difficult in breathing,, cough fever 😂🙌 afu mama wa mtoto ananiambia nipime u.t.i na malaria wala sibishani nae namwambia nenda kapime mama hakuna shida 😂😅🙌 ,, sijui nimekuaje sikuizi mpaka kila kitu anachoniambia mgonjwa sibishani nae nakubali tu 😅 uku moyoni najua anaongea pumba huyu,, umekuja na Bp yako 210/120 unatasema unataka kupima u.t .i na sema it's okay hakuna Shida nenda maabara 😅🙌😂
2026-10-21 20:31:17
5
Brezzy 09 :
Mimi nilikutana na mtu Ako na Meta Ai, and alikua confident na research yake...🙆🏽♂️
2026-10-21 19:09:50
4
Mwax C :
Hainishitui kuja MD kama nilisoma Chand kama izo 6Plus Gs na Bam kama kachumbali😅
2026-10-21 21:13:48
2
Judey 🇹🇿🇯🇵 :
nilikwaruzwa na popo kdogo mguuni chatgpt akanambia probably naweza kupata kichaa cha mbwa[Tears of joy] weee! ilikuwa saa 7 usiku nilikimbia kituo cha afya usiku huohuo kama mchawi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-21 22:11:47
1
Essential :
nilidhania ss washeria tunasoma sana ila medicine 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-10-21 20:52:31
1
Fior🌹 :
2026-10-21 21:58:02
0
INTROVERT power :
mmmhhhh kazi ipo utasikia mwanangu somea udactari
2026-10-21 20:30:37
1
Lukona01 :
WENGINE hata havisomi hvyo mwendo wa chat gpt na anaheshimika kazin
2026-10-21 22:34:02
0
Captain_Scott :
hapooooooo...mtu anakuja na diagnosis kichwan wallah ntakuambia kanunue dawa pharmacy
2026-10-21 20:27:23
1
Dr Lee :
afu mtu anakuja kukutumia tu sms kama kakuoa eti nitajie dawa gani nitumie nawashwa
2026-10-21 21:34:06
0
dj Ki08 :
ukiona mtu hakuheshimu we unakausha tu...
2026-10-21 21:30:51
0
. :
ukweli umuweka mtu wazi Sina muda huo jamani
2026-10-21 20:07:31
6
ApolloJr :
hapo bado cha pharmacology
2026-10-21 21:18:13
0
STAN B :
nakuunga mkono 100%
2026-10-21 23:20:14
0
adamson :
siji
2026-10-21 21:19:16
0
poushkiddy :
nakipataje hicho kitabu?
2026-10-21 21:18:25
0
@BRIGHTON💕 :
waambie
2026-10-21 21:22:25
0
Dreadnaught :
tafadhali dada naihitaji kwa gharama yyt ile
2026-10-21 21:32:59
0
To see more videos from user @drreginauisso, please go to the Tikwm
homepage.