Mimi ni WA Manchester united Niko kwa ndoa na nafanya clean money lakini from next month I must change at least 1 from that list na Manchester united is not included in the changing because huwa inanikondesha bila zoezi
2026-10-22 06:05:04
2
mwikali wa muthui :
nko kwa hizo zote🥺
2026-10-22 05:14:48
35
Ghost Hunter :
guys niombeeni I'm going through a lot of problems ni mimi nilijiletea 🤣
2026-10-22 07:20:15
0
Nyakwar Plan@2 :
that's too much mm cfeel poa😂😂
2026-10-22 05:50:56
0
Yas🦋 :
talk to me directly🥺😂
2026-10-22 06:11:56
3
karismagic1 :
hapo ndo niko [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 07:11:49
0
Clif Martin :
kama nimesurvive since wakati wa David Moyes...nothing will kill me..Brighter days are yet to come 🤲
2026-10-22 08:03:56
1
Ruth 🦋 :
alafua uamue mjaluo from Homabay😂
2026-10-22 04:35:01
9
Mukui Mutunga :
msiingize man u kwa mambo zenu
2026-10-22 04:45:47
5
smoles☺️☺️PainKiller :
[Broken heart][Broken heart][Broken heart]
2026-10-22 00:30:27
2
Haden :
hata 40 nkama ctafika ,itabidi nieacha tu ndoa ikuwe
2026-10-22 03:19:43
10
Missarusei❣️ :
ndio maana sina pesa ndoa ilivunjika lakini die hard wa man-u
2026-10-22 06:09:37
2
mama boys 🥰❤️ :
hata 30 sioni nikifika
2026-10-22 05:52:26
2
Reign🇯🇲🇯🇲🇰🇪🇰🇪 :
mm niko kwa zote
2026-10-22 08:22:47
0
MANDELA HSE :
Huwes Simboo
2026-10-22 04:29:14
1
🤍nyawira🩷mutua :
ndoa tuachie wenyewe😂😂
2026-10-22 08:08:33
0
Faigh Kauria👸 :
Eeeei🤭🤦♀️
2026-10-22 08:09:54
0
🤍KITTY>♡🤍 :
hamsini ni mingi manade😂😂
2026-10-22 08:24:53
0
iddah❤ :
mimi hapa ata nilishakufa 🥺
2026-10-22 08:27:39
0
Kelvin Kihara :
Eih! 🤣🤣
2026-10-22 07:41:02
0
ROSE 🌹 KAMWETI :
Nilitoka Kwa Akina Ndoa Nikanituma kwa Manchester united 😳😳
2026-10-22 07:58:02
0
J a X o H - ⚓️ :
😅 Achana na Man UTD!
2026-10-22 07:54:08
0
🌹 sabby_baby :
hata 35 walae itakua shidaa😂😂
2026-10-22 07:51:07
0
chichi :
miaka hamsini ni mingi sana ata mwaka kumaliza ni ngumu[Big LOL]
2026-10-22 07:43:07
0
Caloh Offez 👑 :
ni meh hung jezi🙌🙌😂
2026-10-22 08:04:13
0
To see more videos from user @nairobielitegadgets, please go to the Tikwm
homepage.