acheni kuleta taharuki muachieni mungu afanya Kazi yake
2026-10-22 06:15:47
2
D number :
Kumbe sisi Dodoma hatupo kwenye list ya El nino
2026-10-22 08:50:54
1
user3699328174378 :
mbona kama ndugai uyu
2026-10-22 10:05:14
0
official nyanza :
tuandamane tunataka Eli nino yetu🤣🤣
2026-10-22 10:26:11
0
Joseph Simba :
2026-10-22 09:34:17
0
user81369229374238 kasiaka851@ :
Amna kitu, ni namna ya kula Hela tu
2026-10-22 08:38:34
0
Bizzour R 1 :
Sasa jamani bahari ya pasifikani na sisi tulio iringa inatuhusu
2026-10-22 10:01:14
0
Veronica :
Kwa hiyo mvuo hizo ndiyo joto hili au siyo wadau...b 700 ogeza b 500 ya joto b100 ya kimbuga na b 200 ya radi
2026-10-22 13:30:50
0
madam Miage :
aaahaa mtuache bhanaaa shule mmefunga mapema sasa sisi walimu uji wa watoto tukanywe wapi????
2026-10-22 06:57:22
0
Shalfatain Mangwe :
Apo kun mamb hay✌️
2026-10-21 20:33:27
0
Man'Kush :
Billion 700 ongezeni Billion 100 za ladi
2026-10-22 10:59:38
0
Rebecca kebhono :
ila osca😁😁😁
2026-10-21 21:48:03
0
🥡OFFICIAL🥡LAMINE🥡 :
mungu tulinde waja wako
2026-10-21 20:45:34
0
Gidion Silvest :
Tumuulize Maza
2026-10-21 20:42:44
0
Innocent Massawe :
Upo Sahihi kabisa... Bukoba hatujawahi kupata Joto kama la sasa. kama vile tupo dodoma
2026-10-22 00:35:43
0
CHARLES KACHWELE :
Wahuni kama wahumi wengine tu
2026-10-22 05:39:39
1
mc bizman :
kwenye takwimu ya NCHI MASIKINI unajua tupo nafas ya ngap na mmetenga billion 700 na zmetumika wap kama ndo JoTo, huogopi nafas tuliyonayo ya 6 kwa NCHI maskin
2026-10-22 08:31:15
0
Brayton Dominic :
hamna lolote
2026-10-22 11:41:13
0
Moses :
achen utapeli nyie sindio mlisema tuweke chakula ndani napesa mkuchukua kumbe ilikua ni joto😂😂
2026-10-22 06:49:05
0
Livinus :
acheni uongoo bhanaa
2026-10-22 06:48:33
0
Ray4sky :
nimevuna shambani vitu havijakomaa hatari mambo yako haya ✌️
2026-10-22 06:41:34
0
e.movie :
Nyie mlisemajeee njooni mchukuue hivi vitunguu
2026-10-21 20:32:27
0
To see more videos from user @cooliesportsbackup, please go to the Tikwm
homepage.