Nilitoroka nikahacha pochi yangu nilinunua mbagara ef 1000😂😂😂
2026-10-22 07:26:33
37
Goodmanface📊🏁. :
apo ukiomba kazi mda huo huo unaonyeshwa chumba cha kubadili nguo...
2026-10-22 07:12:00
236
moudeeymatindi :
kilicho nikituta hapo mmmh 🏃
2026-10-22 03:36:18
86
Aidan shaha :
broo nifanyie mpago bas
2026-10-21 22:04:35
29
citras :
hapo cv wanataka uwe Hai tu , hyo kaz ya moto sana niliifanyaa masaa matatu mpaka sasa hv natumikia maumivu ya ule mda mchache niliofanya kaz , unazaliwa mzma unapata kibiyongo kwenye utafutaji kweli hela ina siri kubwa
2026-10-22 06:42:32
52
BABA💓 ANJER💖 :
si bado tupo xaan 💪💪💪💪
2026-10-22 05:05:19
21
TWALIBU :
Nilikua namuomba mungu nipate kazi hapo hatimae mungu akasikia kilio changu nikapata kazi hapo nimeenda asubuhi kuanza kazi kitengo Cha pumba Ilivyo fika jioni wakati wa kutoka mimi na mungu tukawa tuna laumiana. 😒
2026-10-22 14:16:48
11
🤣 :
🤣🤣🤣🤣,,apo hata ukienda choon wanakulinda usiondoke
2026-10-22 05:53:22
40
UNCLE J🧠💪🚖 :
😂😂NA HAKUNA ATAKAYE KUFUKUZA ILA MOTO WAKE SASA 🤣🤣🤣🤣
2026-10-22 07:42:52
44
Tarroga¹ :
ogopa kazi kila siku unambiwa ipo😅😅😅
2026-10-22 02:37:24
46
mdudu mnyama AI ⛎ :
Oyaaaa kazi kubwa mshahara doumbia
2026-10-22 09:46:42
9
man ngemba 😎 :
siku mbili zilinitoxha kukmbia apo
2026-10-22 10:29:08
5
Liwalo na Liwe :
mm niliacha ndala hapo
2026-10-22 06:34:33
14
SHELLY_ONE _PHOTOGRAPHY ♎ :
na ukifanya kazi hapo myez 6 Wewe hakuna kazi ambayo itakushinda
mm niliacha mshahara wangu nikakimbia 😂😂😂
2026-10-22 11:55:48
5
sidecaptain3 :
Kuanzia Asubuhi had joini ni 3000 mm nilikimbia nikaacha adi nguo zangu
2026-10-22 10:19:56
6
young mizzy :
Songesha baba[Tears of joy]
2026-10-22 04:18:56
1
Johnson zk :
tuliwahi kufanyaa kazi humu shift ya usiku tujuane
2026-10-22 04:58:32
6
samir nasir :
BAKHRESA NI MZANZIBARI
2026-10-21 21:57:13
9
MaxMikey19 :
Mm nilikosa field tu😂
2026-10-22 04:11:21
6
꧁༒☬ALLYSCOPE☬༒꧂ :
Yaan hapo bora uwe dereva
2026-10-22 02:53:16
9
DICK KAGERA &GENERAL SUPPLIES :
sahihi tumepitia uko maisha aya bhana[Tears of joy]
2026-10-22 05:24:37
7
Ely 🎸 :
nasikia analipa elfu4000 kw shift ila dar sema tunashukurun mwanetu kwkua tumepata pakuanzia
2026-10-22 04:07:11
7
Mtoto mdogo👑 :
na apo akuna mtu ambaye alishawah kufanya kazi akamaliza watu wanafanya kaz na kuacha siku hiyo hiyo
2026-10-21 22:14:38
8
To see more videos from user @dukanikwampare, please go to the Tikwm
homepage.