kumbe Elnino ni tukio[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 03:12:07
0
Omari Mustafa Jr :
Hiyo leooo hiyooo
2026-10-22 03:12:55
0
Paul Gabriel :
Duuuuh asee [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 02:51:07
1
brightness607 :
Tuwe wapole tumesha jaa kwenye mfumo🤣🤣
2026-10-21 22:11:52
16
Big nation :
ndio mtenge mabilioni na mfunge shule mapema.asee hapana kwa kweli
2026-10-22 03:35:44
1
Hand bag by mom Ethan 🥰 :
Ndio maan joto ni Kali sasa chakul kilikuw cha nn bora mngesem tununue feni Sio kwa joto Hili 💔
2026-10-21 21:40:13
17
gtz :
Mlisema wazi kabisa kuwa ni mvua kubwa......mbona sielewi tena
2026-10-22 03:18:26
1
WILEZU 255 :
Tushapigwa jamani 🥺🥺🥺🥺 bajeti imetegwa ya nn????
2026-10-22 02:51:32
3
edithakarugaba47 :
Njia za MUNGU hazichunguziki jaman, na anatunza ahadi zake yeye siyo mwanadamu
2026-10-22 02:53:11
2
Chacha Nyabale :
kuna mambo haya ✌️
2026-10-22 02:52:34
1
Mizani_ya_Imani :
Wasomiiiiii. 1. Y2K 2. COVID 3. EL NINO
2026-10-22 02:32:04
1
baby p :
nasindwaaaa kuelewa jaman
2026-10-21 21:14:10
5
Shalom :
huyu ni siasa anapiga
2026-10-21 21:50:35
9
Mwax C :
Napenda wa Tanzania wanielewe Elnino inayo zungumziwa hapa ni ya Makombe kwa Simba
2026-10-21 22:01:28
8
yudithyamungu :
Kigoma Tayari tushaipa El nino ya joto ile bilion700 sijuwi tunaipataje sasa😂
2026-10-21 22:15:56
7
zu-❤ :
nyiesasanyie msituone hazinamo
2026-10-21 21:48:50
5
Paul Gabriel :
Tumeshaingia kwenye mfumo
2026-10-22 02:51:50
1
I am Big Boss 💼💰 :
Kuna mambo haya ✌️
2026-10-22 02:56:16
1
Alpenza Home And More..... :
Tunabadili gear angani
2026-10-22 02:33:36
1
Paul Gabriel :
Hakuna joto bhana kila mwezi wa 10 kila mwaka huwa joto lipo kwa watu wa dar huwa wanalala nje...Tumeshapigwa
2026-10-22 02:59:36
1
Kave Youb :
kwahiy zile billions zishaanza matumiz au vp
2026-10-22 02:21:16
1
shija :
tumepingwa hapo tumeshajaa kwenye mfumo
2026-10-22 02:29:26
3
Joyce Meyer :
MUNGU wetu hatoruhusu jambo hili MUNGU wetu yu pamoja nasi wa Tanzania kikubwa tuendeeni kuomba sana tuendeleeni kumsihi MUNGU aachilie mvua za kawaida 😭😭😭
2026-10-21 22:55:37
3
To see more videos from user @babyzuchuplatnumz, please go to the Tikwm
homepage.