the moment she told auka ati yeye hawezi skiza mtu isipokua cannan I knew it's over
2026-10-22 05:39:32
2
karembo :
maybe she wanted views
2026-10-21 21:24:19
39
Bossjossy❤️ :
The pure truth dear🥰🥰🥰
2026-10-22 06:44:13
0
Miss Nzilani :
saa hii kuna voice note😂😂😂comment section itakua fire si fire
2026-10-22 05:49:25
1
mercie123 :
always I will choose to walk away 😍
2026-10-22 06:48:40
0
𝗕𝗟𝗜𝗡𝗚 𝗧𝗛𝗘 𝗕𝗥𝗔𝗡𝗗🥀 :
Not everything is for views
I hope she will learn
2026-10-21 20:53:58
55
Jackie :
imagine anasahau wale wasichana walikufa afew months back were burnt to death... kuna vitu hataki jokes...that was an ecpensive one
2026-10-21 21:29:54
33
Eunice mwikali ❤️❤️❤️ :
imagine na vile hatujasahai wale watoto wachomwa shule juzi hata wazazi wao hawapona
2026-10-21 23:11:35
31
Boboh jose :
Chichi alisahau kuna law nje ya tiktok
2026-10-22 06:00:33
6
Leo :
imagine zile advice zote watu walikuwa wakimpea , chichi si uachane na Hawa wanaume, chichi si you focus
2026-10-22 03:08:47
10
evarlynemwende517 :
umepotea sana siz
2026-10-21 20:16:34
6
Susan :
chichi afunzwe lesson
2026-10-21 21:20:06
6
miss musembi :
alikuwa na threats mob kwa canasn eti she will deal with him
2026-10-22 01:40:20
0
kk :
and she called herself mwanamke bomba for doing that. That is setting bad precedence for younger girls watching all this
2026-10-22 01:47:44
4
julie :
jamaa fulani alingoganisha mtoi wangu na bike satu ,wee huyo jamaa alichapwa na watu wa mtaa bt mungu alinizuia kwa nyumba nikalala na nikazima simu kitu ka dakika 20.i thank lord sikumuona hio siku ju ningefanya kitu baya .sasa leo nilimuona kwa gate yetu hasira zikqpanda bahati mzuri beshte yangu akanipigia simu nikamuambia nitamkol nimeona mtu alinigogea mtoto na nikakata simu.the next minute nilikua chini na hasira zangu lakini mungu akanitumia mama fulani alikua mtoi wangu akichapwa ,huyo mama qlinishika akaniambia "husifanye kitu inaeza kupeleka jela uache hawa watoto unawapigania msamehe tu hutakufa"after that nililia na nikaambia mtoi wangu amsqmehe na tukaenda .am free now bt hisipokua ni mungu kunitumia mungu uenda ningekua kwa kesi .lesson yaleo nikiwahi kosewa na mtu nitakua namuondekea if possible.
2026-10-21 22:44:38
5
this_is_ericas :
very true
2026-10-22 03:49:42
1
Runya_jr :
Halafu wengine wanasema Omondi na hadi Omondi hakuenda polisi
2026-10-21 23:23:20
4
Y.V.E.T.TE.💜🇰🇪🇬🇸 :
wangu ata nitusiane aje ,,no day ashainijibu huwa anaignore zote[Tears of joy]
2026-10-21 23:02:27
1
@smoothling1 :
Tena alikubali
2026-10-22 01:27:36
1
I'M OKAY🥰 :
Good girl....
2026-10-21 21:37:11
1
Rose🌹 :
8(8
2026-10-22 02:43:45
0
Queen B 254🇰🇪 :
mnacheza na hii kenya na kama huna connection utaozea ndani😩😩😩😩
2026-10-22 06:26:49
0
To see more videos from user @fannymelanin, please go to the Tikwm
homepage.