@khaanmahaba:

khaan mbarouk
khaan mbarouk
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 19:29:11 GMT
15780
1801
36
36

Music

Download

Comments

hajimarrow
MJA WA ALLAH :
proud to be muslim
2026-10-22 07:17:31
0
jamesennanuel
Festo James :
Bro Huko Mahakamani Serikali haijawai Kumsaidia Mwanaume Ndomaana Tuna maliziaga stor Nyumbani💯
2026-10-22 03:59:02
16
musa_muh
musa :
shida ipo kwenye kuua na kukamatwa
2026-10-21 21:01:15
1
schieffabila
BossSultan :
kenya wamebadilisha sheria za ndoa. chirld support ni mume na mke. mali ni za mume .ukiachwa unaondoka wewe .
2026-10-22 02:42:54
6
reney.tarimo0
Reney Tarimo :
je huyo mwanamke anapigania mali kwaajili ya nani mara nyingi ni kwaajili ya watoto unaachana na mtu una watoto watano aende nao wapi 🥹
2026-10-22 06:24:06
0
ckkimacho
CK Kimacho :
wanaume wanaumia mbaya
2026-10-22 03:37:27
2
magakitaula
Mzemaga :
Kwel kaka
2026-10-21 19:55:22
2
joseph.kambona8
J̌ÖŜËPĤ ƘĂMƁÔN̈Å🌀 :
upo sahaii sana pacha
2026-10-21 20:16:10
2
jackson.ngumba1
Jackson Ngumba :
Unajua sheria zinalinda sana haki ya mwanamke bila kujali maumivu makibwa mwanaume alivyowekeza na haya mauaji na baadhi ya matokea ni muhimu serikali ianglie upya sheria hii enzi A wanaume wengi kuvumilia kupoteza mali zake sasa imeanza kupitwa uvumilivu ule sasa unaanza kutoweka
2026-10-22 04:31:15
0
lareen7110
lareen :
so alivyoenda jela ameenda na izo mali???
2026-10-22 06:30:18
0
gelshonrichard
gelshon richard :
nice
2026-10-22 07:17:30
0
ibrahimlikwega
ibrahim likwega :
imekaa na ukweli kaka
2026-10-22 04:00:53
0
ngaiwahardwaretz
𝗡𝗚𝗔𝗜𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗗𝗪𝗔𝗥𝗘 :
kabisa
2026-10-22 04:02:55
0
captainmau
Mau kabange :
sauti hii ifike mbali maana uku sio poa
2026-10-21 20:50:08
0
ngaiwahardwaretz
𝗡𝗚𝗔𝗜𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗗𝗪𝗔𝗥𝗘 :
ndio napitia mimi saivi nimetafuta mali miaka 10 ile leo ni mali mali
2026-10-22 04:04:06
0
fiynah30
Fiynah💕🧘‍♂️ :
Sio kila mwanamke anataka Maliii kaka Ila AMANI peace of mind ni kitu kikubwa sana kaka…
2026-10-21 19:35:08
4
kelvin.mwasi45
Kelvin Mwasimbega :
hii sio haki na wataisha sana maana wakipata wapenz wapya na wameaidiwa kuolewa wanaanza bas tugawane mali
2026-10-21 21:28:32
3
officialbaba3020
official ALEX JR :
kweri kabisa ili lazima walitazame kwa jicho la tatu
2026-10-21 20:08:57
2
upendo.msangi8
Upendo Msangi :
kaka wanaume wanapaswa kuacha usaliti . wakiwa waaminifu hakuna shida kwenye ndoa na ndoa zitakaa vizuri. unajua wanawake wanabadilika baada ya kuumizwa hakuna lingine
2026-10-22 07:14:24
0
abdullhamid41
Naivas printer zanzibar :
MAHAKAMA ZA KIKRISTO ZULMA
2026-10-22 04:06:22
0
mcmasauti
𝐦𝐜𝐦𝐚𝐬𝐚𝐮𝐭 :
Shida tunaoa masikini 😏😏
2026-10-22 07:21:46
0
davidchikawe833
Samson :
ushauri kwa wamama mkiachana ao watoto msing'ang'anie mwachie baba atawalea.
2026-10-22 08:25:35
0
user2824295938143
user2824295938143 :
wanaume ni wabinafsi jmn wakati anatafuta kwa jasho huyo mmke wake alikuwa wap??
2026-10-22 08:15:18
0
user5558546930727
user29228139100 :
2026-10-22 01:06:16
0
baraka.kilama
…. :
🥰🥰🥰
2026-10-21 19:54:59
1
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About