@goldkey001: #creatorsearchinsights #createssightinsight #77millionviewstiktokeffect #nowdays

🅜🅡 🅥🅘🅡🅐🅛 👑⚡🚀
🅜🅡 🅥🅘🅡🅐🅛 👑⚡🚀
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 19:49:03 GMT
94037
7573
442
365

Music

Download

Comments

mkemia.official6
Mkemia Official :
Kama kuna kitu Manchester United wanamiss kwa wanayopitia sasa ni Ahmed Ally, huyu ni mwamba kabisa aliyetufariji wakati wote tulipopitia magumu, alitufanya tujione ni mabingwa hata kama hatujashinda ubingwa alitufanya tujione ni bora japo team yetu ilikua mbovu haitamaniki, amefuta machozi ya wengi sana kwenye nyakati ngumu ila na kocha Davis fadlu ni Musa aliyetutoa misri ila hakufanikiwa kufika nchi ya ahadi ila aliiona tu kwa mbali, sasa tunae JOSHUA wetu kocha Steve Baker nchi ya ahadi ile pale tunafika bila shaka.
2026-10-22 08:18:29
161
mariam.manoti4
Mariam Manoti :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ngoja nicheke kwanza jaman tumetoka mbali sana na hayo maumivu
2026-10-22 15:28:10
0
mamymomo6
mamymomo6 :
Tena mtuache kabisa na katika dunia hii akuna mashabiki wenyew mapenzi na timu yao kama mashabiki wa simba
2026-10-22 08:37:53
164
mtotowamamatz3
daniely :
ivi kuna kitu kinauma kama mpira kweli🥺🥺
2026-10-22 06:53:23
27
user7251865059639
Issah_ :
The best post of the month 😂
2026-10-22 06:54:54
15
venture_tz043
Venture_tz043 :
EVEN IN OUR LIFE'S
2026-10-22 15:38:18
0
angel874166
Angel :
kama bado hujaanza kupenda mpira ukaingia damuni nakusihi acha!!mimi namraumu sana baba yangu sana kuna wakati nakuwaga wa mwisho kutoka uwanjani maumivu ya kufungwa huwezi elewa nilishapoteza simu mara nyingi sana nikiwa taifa/kmc nishapanda magari mengi sana nikapotea badala ya kwenda mbezi naenda mbagala huwezi elewa ila usijaribu !!akili ninayoenda nayo uwanjani siyo nitakayorudi nayo🥹🥹
2026-10-22 08:08:40
35
anthony.kisabo
NYEHUNGE Mattress point. 🛌 :
tulipotoka ni mbali nyie msingeweza kusitaimili[Pleading] tuacheni 2[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 05:37:21
89
virgobou256
Virgo Bou :
the best post of the week
2026-10-22 14:18:29
2
bplatnumz.01
bplatnumz😷😷🥋 :
Sio mbaya kukumbushana 🥹🥹🙌
2026-10-22 10:13:24
34
pinky.j2
pinky j🦋🩷 :
Nikizikumbuka hizi nyakati najikuta nabubujikwa na machozi😭😭
2026-10-22 08:48:43
8
shabari433
Hamis Masud :
mpira unauma kwa kweli
2026-10-22 06:42:05
16
meshackwiliam65
Meshack Wiliam :
hii Timu Kuna muda inapitia nyakati ngumu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-22 06:25:41
8
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Nilianza nalia badae nikazoea 🥺
2026-10-22 10:45:49
5
nassorringoo
nassorringoo :
TUMETOKA MBALI SANA MTUACHE TU
2026-10-22 06:45:01
13
khatibnail
khatib :
nilichogundua mpira pekee ndyo unaweza nitesa na sio mapenz
2026-10-22 09:56:39
11
prince_kiba28
Prince Jözee_28 :
Kukata tamaa kwetu mwiko na uvumilivu ndo umetufkisha hapa kama mtumish wa mung Ayubu alivyoteseka na baadae kusahau maumivu na mateso aloyaptia. usipotuelewa kasome kitabu cha Ayubu kwenye bible. Simba nguvu moja 💪
2026-10-22 10:02:08
5
sherrykianstore
sherry store :
Watuachee tufurahiiiiii🔥🔥🔥
2026-10-22 09:18:47
1
hazardnas4
hazardnas4 :
Dar umeonge neno kubwa sanaa
2026-10-22 06:52:19
7
user69090639541932
Rey ngosipe :
inaumma sana
2026-10-22 06:34:59
5
zahara.simon6
zahara♥️ :
tena wakae mbali na maisha ya simba
2026-10-22 11:36:49
3
sarahsalum
Sarah Salum :
simba nguvu moja
2026-10-22 11:28:39
2
joy.willy46
Joy Willy :
Dah hadi nimelia🥲
2026-10-22 08:13:56
3
babicute917
Babi-cute🥰 :
Mungu amesimama nasi sasa ni dhamu yetu kufurahi 🙏🙏🙏 kwasababu hatukuwai kuachana kwenye nyakat mbovu tulishikana kwa pamoja na maumivu yetu Na kufarijiana tulijiona washindi ata tulipofungwa sasa yupo upande wetu ivo tuongeze maombi yetu zaidi simba nguvu moja🔥🔥🔥🔥
2026-10-22 09:46:50
4
karim.acro178
Karim acro :
Acha tufulai2😁
2026-10-22 08:46:52
3
To see more videos from user @goldkey001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About