@abdulrashedalhilaly: Kuingia Katika Ushia Ni Kuiza Dini Yako Ya Uislamu #creatorsearchinsights #kenyantiktok🇰🇪 #islamic_video #muslimtiktok #shia @Alhilaly Short Clips
Nimejua leo sababu ya iran 🇮🇷 kuichapa Israel ni dunia tu bali Saudia kushirikiana na Israel ni dini na Akhira, Shukran sana kwa mawaidha ya kizayuni
2026-10-22 03:16:11
6
Ashraf_99 :
🤣🤣🤣Dah! kwa hiyo sisi tuliozaliwa Shia?
2026-10-21 21:20:03
2
sharifu محمد بن :
ya Ali 🥰
2026-10-22 05:02:29
0
sauti ya mkutubi :
kweli kaka naona khamenei kiongozi mkuu wa irani kafa kauliwa kwa sababu ya kuitafuta dunia na saudia anaruhusu pombe papoja na makasino na kushirikiana na izilael na malekan kwa ajiri ya kuitafuta akhera
2026-10-22 14:53:43
0
Abdi mohamed :
takbir
2026-10-22 05:12:13
1
Hatibu Hasan :
sheikh mm nakuomba unjibu swali lngu hili,wakati wa mtume kulikua na waislamu na makafiri na wanafiq,hawana wanafiq walitoka ktka kundi gani?
2026-10-22 05:13:30
0
shogolamwendo8 :
kwakweli nashukuru mungu Mimi kuwa shiaa hapa nipo IRAN
2026-10-22 21:20:02
0
Salmin_jr :
🤔🤔😂😂😂 Wueh
2026-10-22 15:02:48
0
Education :
Rupepende tusipende UISLAMU wako hauwezi kukamilika bila ya Muhammad wa Aly Muhammad
2026-10-22 12:02:12
0
safia hamudun :
Subhanallah😭😭😭
2026-10-22 11:34:04
0
Mwayuma Masudi :
sheikh Allah wetu akulinde🫶🫶🫶
2026-10-22 17:53:16
0
shogolamwendo8 :
sasa ndugu yangu mbona nyinyi mnatowa hivo vitu hamsemi
2026-10-22 21:17:06
0
sauti ya mkutubi :
masha allah kumbe mashia hutumia mali zao kuwavuta watu katika haki
2026-10-22 14:56:11
0
Hatibu Hasan :
yataka cku moja uzungumzie fadhla za Ahulbai c masahaba peke yke ambapo wengi wao walikua wakisumbua mtume mmweyewe na lau c wahi mtume pia angewaona watukufu tu.
2026-10-22 05:10:46
0
Shaban Mustapha749 :
sheigh watu washavuka huko siku hizi waza mafanikio waza maendeleo na kuunganisha umoja wa waislamu sio kuleta fitna na machafuko duniani himiza katika maendeleo na umoja
2026-10-22 13:02:08
1
swaghiiru na jamii :
Namshkuru Mungu kwa kuwa shia💪💪
2026-10-22 08:39:48
0
salumahmad0 :
alhamdulillah Mimi ni shia
na nitabaki kua shia ilaa yaumil qiyama
na hatutumii kauli zako kuijua haqi tunatumia haqi kuijua haqi 😊
2026-10-22 03:20:43
0
Rahul Shaaban :
mtu anipe dalili hata ya uongo
kama mtu anatoka kwenye uislamu ikiwa atasema machafu waliofanya hawa watu wachache hata 7 hawafiki
mtu akisema mfano Abubakar alipora shamba ya mama faatwima ndio anakuwa ameuza dini yake
Omary ndio sababu ya mauaji ya mama Fatima
Aisha na hafsa ndio waliosababisha kifo cha mtume
2026-10-22 01:08:16
0
Hatibu Hasan :
chochote utakachosrma lzma ili uokoke uwapenda na kuwapitisha mbele watu wa nyumba ya mtu,chuki xko juu yao hutafaulu wla hutaonana na mtu.
2026-10-22 05:06:29
1
Gyuo :
hongera kwa juhudi yako hilaly
2026-10-22 13:48:18
0
Omari Kisua :
إن كنت ناقل فصح و إن كنت مدع فدليل
2026-10-22 03:11:36
0
Abdul maina :
Alhamdulillahi ladhi jaala aadaana minal humaqaah
الحمدلله الذي جعل أعداء من الحمقاء
sifa zote njema ni kwa Allah alowafanya maadui zetu kuwa miongoni mwa wapumbavu🤣🤣🤣
praise be To Allah who made our antagonists amongst the odiots
2026-10-22 19:26:15
0
halish_254 :
😂😂😂
2026-10-22 04:18:18
0
عـــــــــابـــــــــر :
🥰🥰🥰
2026-10-22 00:33:28
0
shogolamwendo8 :
😂😂😂😂😂😂
2026-10-22 21:20:17
0
To see more videos from user @abdulrashedalhilaly, please go to the Tikwm
homepage.