mbeya mkitaka sapoti toka tunduma tupo leleleleeeeeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 09:01:34
0
Mathew_tz🇹🇿 :
Kuanzia leo mbeya NI NCHI sawa
2026-10-22 05:18:06
12
BENARD MWAKALYELYE :
mbeya familia tano tu zingiia barabarani ni swala la kitaifa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-22 07:50:33
0
BABA. DPN :
kitakuja kuwaka tu one day vijana wamechoka
2026-10-22 08:04:10
2
Ansgala Zakaria :
Ya lini hiyo?
2026-10-22 06:07:04
2
My fav🎀 :
Mbeya zinabondwa tu
2026-10-22 07:58:01
1
cruel son...15given :
Yani ukuu mbeya town na Arusha ni nchii tofauti xio TZ 😂😂😂😂
wimbo unanikumbusha kipindi tunamkomboa NERISON MANDERA kutoka gerezani. hamkeni tanganyika
2026-10-22 06:49:07
1
R@y-z 🇹🇿 :
wanangu tushituane bas
2026-10-22 05:32:31
0
Nyandw7 :
kweli au
2026-10-22 08:43:25
0
SIMBA ZEE :
kwani shida ni nini
2026-10-22 04:48:43
0
G_quotes... :
bado siku chache kumbukizi ya October 29
2026-10-22 08:33:14
0
mady hero :
mwenyez mungu awatangulie kwenye jambo lenu
2026-10-22 08:45:48
0
Sniper@Msumi :
Swala n moja tu watanzania walisha onjeshwa uongozi wa maamuzi ya moja kwa moja na kuonesha kuwa umasikin sio unyonge....uwez watuliza kwa kuendelea kuwakandamiza kama serikali ya mjane inavyo taka....sikilizeni na raia wenu matatizo mnatuletea mwenyew....
2026-10-22 08:58:10
0
mtafutaji :
ivi kwann October tuuu itatumalizaa
2026-10-22 08:31:18
0
Immah Name :
ujue watu wamevurugwa awaelew😂
2026-10-22 08:30:36
0
Benson Mahundika :
🥰🥰🥰
2026-10-22 08:26:04
0
raydamaster♥️♥️ :
peleka moto kbs
2026-10-22 08:43:45
0
ROHO INA SEMA :
mienyewe ivoivo
2026-10-21 23:57:00
0
To see more videos from user @chimalaspotihd, please go to the Tikwm
homepage.