Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@alex.sac.cotiy:
ANTHONY ALEX VIVA LA RAZA
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 22 October 2026 02:52:13 GMT
2717
86
20
31
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Onandy de la cruz🇬🇹🦁 :
2026-10-22 18:12:55
1
ESTUARDO CHN :
2026-10-22 13:22:54
1
Jesús :
2026-10-22 03:28:26
1
Yordin :
@
2026-10-22 12:48:05
1
Daniel munoz :
2026-10-22 14:27:35
0
el chino :
2026-10-22 15:36:56
0
Daniel munoz :
2026-10-22 14:28:29
0
Daniel munoz :
2026-10-22 14:27:06
0
Daniel munoz :
2026-10-22 14:26:55
0
Daniel munoz :
2026-10-22 14:26:41
0
Gonzalez’s✋Mobile📲&Repair📲 :
Se frenta el
2026-10-22 07:57:00
1
Daniel munoz :
2026-10-22 14:26:48
0
el chino :
2026-10-22 15:37:00
0
السكدؤ دة ةي سذ :
🥰🥰🥰
2026-10-22 12:18:32
0
To see more videos from user @alex.sac.cotiy, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Replying to @user2815272546291queens #musicollyda #viraltiktok #onthisday #foryourpage #oldschool
It’s for you 😎
#duet OH I DO LOVE A GLITTER PAINTING - @max.king868 - IG - richardsalesofficial #viral #xybzca #FYP
Nze akwagala 😍 #blowthisup #vyrota #millionviews #brunolyrics
*MASOMO YA MISA - IJUMAA, OKTOBA 23, 2026* *Juma la 29 la Mwaka A - Rangi: Kijani (au Nyeupe - Mt. Yohane wa Capistrano)* *ANTIFONA YA KUINGIA: Zab 16:11* _Utanijulisha njia ya uzima, mbele zako kuna furaha tele, mkono wako wa kuume una mazuri milele._ *KOLEKTA* Ee Mungu, Baba wa wote uliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote, uliyemfunga Mtume Paulo kwa minyororo kwa ajili ya Kristo, utujalie neema ya kuenenda kwa unyenyekevu na upole kama inavyostahili wito wetu, tujitahidi kuuifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani, na kutambua uso wa nyakati hizi na kupatana na ndugu zetu kabla ya kufika mbele ya mwamuzi. Kwa Bwana wetu Yesu Kristo... *SOMO LA KWANZA: Efe 4:1-6* Nawasihi, mimi niliye mfungwa katika Bwana, mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa; kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo; na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani. Mwili mmoja, na Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu. Bwana mmoja, Imani moja, ubatizo mmoja. Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. *Neno la Bwana.* *WIMBO WA KATIKATI: Zab 24:1-6* *K: Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao, Ee Bwana.* 1. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha. *(K)* 2. Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake? Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila. *(K)* 3. Atapokea Baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake. Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao, Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. *(K)* *SHANGILIO: Efe 1:17-18* Aleluya, aleluya! Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake. Aleluya! *INJILI: Lk 12:54-59* Yesu aliwaambia makutano pia, kila mwonapo wingu likizuka pande za magharibi mara husema, Mvua inakuja; ikawa hivyo. Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa nchi na mbingu; imekuwaje, basi, kuwa hamjui kutambua majira haya? Na mbona ninyi wenyewe kwa nafsi zenu hamwamui yaliyo haki? Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidi kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya kadhi; yule kadhi akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani. Nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho. *Neno la Bwana.* *SALA YA KUOMBEA DHABIHU* Ee Bwana, kwa Bwana mmoja, Imani moja, Ubatizo mmoja uliotukusanya katika mwili mmoja, pokea dhabihu hii ya umoja, na utujalie tuwe kizazi cha wakutafutao kwa mikono safi na moyo mweupe. Kwa Kristo Bwana wetu. *ANTIFONA YA KOMUNYO: Zab 24:4* _Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, atapokea Baraka kwa Bwana._ *SALA BAADA YA KOMUNYO* Ee Baba wa wote, kwa mkate wa umoja uliotulisha, utujalie Roho ya hekima na ufunuo, ili tutambue alama za nyakati na tujitahidi kwa bidii kupatana na ndugu zetu njiani, kabla ya siku ya hukumu. Kwa Kristo Bwana wetu. *UJUMBE MKUU: KUTOKA MOTO MPAKA UMOJA - NA KUTOKA MAGOTI MPAKA MINYORORO!* Leo ni mlolongo mzito! Hebu angalia safari yetu: - *Jumatatu:* Tulihuishwa (Efe 2:1-10) - *Jumanne:* Tuliletwa karibu (Efe 2:12-22) - *Jumatano:* Tulifunuliwa siri na kuitwa mawakili (Efe 3:2-12) - *Alhamisi:* Paulo alipiga magoti ili moto ukae ndani (Efe 3:14-21) - *Leo Ijumaa:* Paulo anaandika akiwa *MFUNGWA!* (Efe 4:1) *"Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo."* #nkomokomomedia #nenolamungu #kanisakatoliki *Nkomokomo Media* _Creating Memories for a Lifetime_ *©2026*
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy