usitafute mwenye kila kitu. tafuta mtu mtakae kua levo moja..
2026-10-22 11:37:19
2
khadikskoe1 :
kweli kabisa
2026-10-22 11:44:04
1
sarah :
lakn vingne ni wajib wa mwanaume iwe ana hela au hana ni wajb kumhudumia mke wake baba apo siez baliana na ww ata kdg wanaume wahudumien wake zenu na so lazma akuombe vingne wage mnajiongeza tyu
2026-10-22 16:37:02
0
Ng'humbu :
ndio mana natafta hela zangu mwenyewe sitaki fedheha ndogondogo
2026-10-22 16:23:22
0
John Beatus :
Asilimia
2026-10-22 08:16:27
1
Melania Mkumba :
mpe mtaji wewe vipi brother
2026-10-22 12:03:04
0
Martina Agostino :
mmm hiii niatari kaka oscar
2026-10-22 12:46:01
0
user8367991420036 :
hapana so kweli
2026-10-22 12:21:18
0
Ray🥰 :
uyodada kaongea point
2026-10-22 13:53:24
0
neema 🥰 :
@So Vitu Vyanguuuu
2026-10-22 10:55:23
0
Kefa Mbena :
sio hizi ngo"embe zetu
2026-10-22 10:54:19
0
Magreth Paulo :
ni kweli Oscar 🫡
2026-10-22 10:55:53
0
FAHID👊🏿 :
2026-10-22 09:09:15
0
Yvonne_ Hairland :
wanawake mmeskia haya twende tukatafuta hela tuje tusaidie
2026-10-22 09:35:02
0
MAMA🐓KUKU :
kama mwanaume ndo kaanguka matopeni Oscar tunafanyaje na mazingira unatengeneza njia unampa tunafanyaje😁😁😁