@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 05:13:33 GMT
85119
7293
377
310

Music

Download

Comments

william_mwashilili
Bwinno ## 🔭 :
watu wengine wanafikiri ni utani 😂😂😂
2026-10-22 07:26:24
241
lrrny4
Lr🎱ent :
Kuna mda ad alikuwa anacheza kwa wapinzani ili mzan ubalance😂
2026-10-22 06:47:31
259
alvinhamad
Alvin Hamad :
Hata El-nino itakuja kama Chilambo [Big LOL][Tears of joy]
2026-10-22 08:14:21
12
rey37776
Rey :
Hata mtangazaji alisema hajui alipotokea akafunga goli la kwanza
2026-10-22 06:59:30
107
dominicthomas024_gmail
D de Hunter :
na Kuna mda alimshkia refa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-22 08:57:33
0
vicentmeckson
Nyegere mdudu :
goli la kwanza nipo nae hapa ubungo mataa ananiuliza kafunga nani eti
2026-10-22 09:12:25
64
user595749810007
HUBA15/Kilaga :
ila bina damu ww mh umezidi xx[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-22 07:16:45
0
abu_mec10
Dominant :
Water[Tears of joy]
2026-10-22 12:09:49
0
fodyomary
fodyomary :
🤣🤣🤣🤣🤣ata kuna muda tulikuwa tunacheki nae games kenye Banda umiza huko msasani dahhh 🤣
2026-10-22 06:04:22
69
salma8245203817971
Salma :
wakati mnasema amefunga tulikuwa naye kwenye big screen mwenge
2026-10-22 07:04:32
34
sitegmail.comstel
[email protected] Isdory :
tabasamu lake tyu[Tears of joy]
2026-10-22 06:18:29
0
ester.mwananhumbo
Ester Mwananhumbo :
mbona Mimi nilikua nae kanisani Misa ya jioni tulipotoka nasikia eti chilambo kafunga goli kuongoza nilimuangalia nayeye akanianbalia nikamuuliza inawezekanaje anjibu yeye mwenyewe anashangaa ikabidi tuanze kucheka tu 🤣🤣🤣
2026-10-22 10:31:04
7
mshanta_picha
Mshanta photographer📸 :
nasikia Kuna muda yeye ndio alikuwa kweny Ile camera ya juu ya Azam tv
2026-10-22 05:55:53
62
phetic34
Phetic :
saizi jamaa tuko naye Nigeria anaimba na omah lay
2026-10-22 07:51:10
26
madam.t924
madam T😘 :
Daaah jamaniiiii simbaaa hii inanip Raha🙌
2026-10-22 09:23:14
7
guysonlawrence1
guysonlawrence1 :
au ni ai
2026-10-22 05:18:29
2
yusufuhamisi64
yusufu@10 :
kuna muda nilimskia na yeye anatangaza mpira 😅😅 alifika mpk chumba cha utangazaji😅
2026-10-22 08:11:52
13
athanas.regnald2
ATHANAS REGNALD MR MASONG :
dumbia kuzindua rasmi mvua za enino😅
2026-10-22 07:42:28
6
noe.noel76
noeh✨️✝️. :
Sasa mtu asi abudu naku shukuru maana mda ule nasikia kelele tulikuwa nae kanisani sasa sijui ali tuacha sangap mda ule 😁😁😁
2026-10-22 09:24:26
7
kingpinsportswear
kingpin :
yani kachukua Kiatu tu kwangu hapa kariakoo agrey na uhuru kaenda Kufunga goli muda huo huo Kila sehem yupo 🔥🤣😁
2026-10-22 07:05:56
12
0682469857abdulkanick
Dream boy💭🙌💚 :
🤔au atakuw na pacha wake🤔🤔🤔🤔
2026-10-22 11:03:27
3
nyanza.adam
nyanza adam :
hapo Kuna mambo haya ✌️
2026-10-22 14:49:26
1
zamdakhan291
zamda khan⁷💜🎧🧕💟 :
Wangap wakiingia TikTok wanasahau kama alkuw anachat Whatsapp 😂😂😂
2026-10-22 11:20:39
2
mloli017
_munyi🤠 :
bola nyie, si tulikaa nae nje kwenye BIG SCREEN huku
2026-10-22 13:05:17
1
zena.sadick
patyma💞 🇹🇿🇴🇲💞 :
Ata uko oman nimemuona😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-22 08:30:27
1
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About