@gospel_fire: karibuni kwenye mkutano TAG SONGEA REVIVAL CHURCH mkutano unafanyika kwenye viwanja vya Umati #gospel #creatorsearchinsights #spiritualgangsta
nilikuwa ndio ninezaliwa ila saiv nalingana nae jehova jehovaaaa jesuuuu
2026-10-22 10:41:33
64
Whos.innos :
mileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-10-22 07:29:16
78
Brown Gal🤎✨ :
MUNGU WETU NI MUNGU MWENYE WIVU HAPENDI MUNGU MWINGINE TENA ASIFIWE ILA YEYE.. ILA SIFA NA UTUKUFU NA SHUKURANI ZIENDE KWAKE MAANA NDO MUNGU ALIOZIUMBA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VILIVYOMOOOOOOOOOO VILIVYOMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO🎶 incase Hukusikia Vzur😂😂😂
2026-10-22 10:44:12
77
bosswalk_ :
me sasa kumbe naweza kutoa laana na ikampata mtu, 2002 nilikuwa std 5😅😅😅
2026-10-22 08:54:09
16
sheisrare💞シ゚ :
2002 sijazaliwa na hajazeeka mm nishakua bibi duuh
2026-10-22 16:47:25
7
Beck-G :
mlelwaaaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 07:37:43
1
mimi :
hazeeekii jmn
2026-10-22 07:15:38
25
user4265312935694 :
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 saiv kawa handsome
2026-10-22 11:58:14
1
Miss reeny❣️ :
Jamani huyu baba alinibebaga wakati wa semina Mwanza nikiwa nina miaka 4 😌
2026-10-22 14:22:53
11
Minma400 :
nmeukosa huu mkutano inanium🥹
2026-10-22 08:09:24
5
dax jr.. :
legend never miss
2026-10-22 08:09:21
2
MR. Casio :
nimeamini kwa yesu hakuna kuzeeka
2026-10-22 09:40:32
9
joh baba💯 :
sahiiii
2026-10-22 06:11:11
1
WILLIAM PETER :
joshua
2026-10-22 13:59:51
1
Sam :
Jamaa anajua sana
2026-10-22 06:51:30
7
Anko_kim :
Vilivyomoooo😭😭😂
2026-10-22 05:25:21
5
Samson Humbe :
Huyu ni Joshua Mlelwa mwwnyewe
2026-10-22 19:25:38
1
kibori :
genz left the group
2026-10-22 14:43:43
1
Bianca❤️ :
Waaaaooo
2026-10-22 19:28:28
1
exaudymlelwaxbaba :
2002 nilikua darasa la kwanza😳
2026-10-22 15:43:15
1
. :
Hazeeki 🥰
2026-10-22 14:11:28
2
To see more videos from user @gospel_fire, please go to the Tikwm
homepage.