@eagtmlimwawest: Askofu Mkuu wa EAGT, Professor Brown Mwakipesile, akihubiri siku ya kwanza ya Mkutano mkubwa wa injili katika Viwanja vya Wajenzi nyuma ya sheli ya puma, ulioandaliwa na kanisa la EAGT Mlimwa West DODOMA, Leo ni siku ya 02 usipange kukosa ewe mkazi wa DODOMA na viunga vyake, njoo ukutane na YESU KRISTO mtenda miujiza. #mailimbilikwayesu #MkutanoMkubwaWaInjili #EAGTMlimwaWest #dodomatanzania🇹🇿

EAGTMLIMWA WEST
EAGTMLIMWA WEST
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 05:20:21 GMT
9481
1260
66
58

Music

Download

Comments

sigifred.paul
Sigifred Paul :
hiyo ndio Injili ya kweli sio ile yakuambia watu pokea utajiri, au maji na mafuta
2026-10-22 07:52:59
6
grolysanga329
Groly Sanga :
amina mtumishi wa mungu
2026-10-22 09:01:08
2
estererasto8
ESTER ERASTO🫅🫅 :
Ameniii🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-22 06:26:49
2
rabby.frower
Rabby frower🥀 :
aminaa 🙏 sema tuponee baba
2026-10-22 06:45:25
4
joyce.jeremiah16
Joyce Jeremiah :
Amins
2026-10-22 09:23:17
1
wakili.daniel.phil
wakili Daniel philipo :
Amen Amen
2026-10-22 06:32:18
2
blessed.gurl85
blessed gurl 😇 :
Amen injili ya kweli na inayoishi wooii
2026-10-22 14:03:23
1
sammaula
Sam Maula :
Amen..hio ndo injili iliyo hai mtumishi Mungu akupe maishi marefu
2026-10-22 07:59:50
2
jojina.felix
Jojina Felix :
amina
2026-10-22 14:29:50
0
asterywolfram
astery wolfram :
mungu anisaidie
2026-10-22 11:16:26
0
celebrityclipstz
Celebrityclipstz :
kwel kabisa
2026-10-22 12:33:00
0
hilda.odhiambo
Hilda Odhiambo :
Baba Mungu ninatubu dhambi na makosa yangu yote
2026-10-23 03:56:11
1
flavia.kaguo
Flavia Kaguo :
2026-10-22 12:47:45
0
grace.mkono
what :
Amina,,asante Yesu kwa wokovu mkuu namna hii..
2026-10-22 05:27:23
2
scolad5
Scolad :
Amen
2026-10-22 06:09:12
2
mpema.pochi.classi
Mpema pochi classic (mtumba) :
Amen
2026-10-22 05:47:13
2
llyemma0
Lily Emma :
Amen
2026-10-22 12:14:12
0
user3484303181073
peter Charles msaizi :
Amina
2026-10-22 13:22:08
0
user6635067168188
suzy :
amen amen ubalikiwe sana baba mungu akuinue zaidi kuifanya kazi yake
2026-10-22 12:33:18
0
user8173696581882
Patrick :
Injili ni ukweli na uwazi, MUNGU azidi kukuwezesha mtumishi wa Mungu
2026-10-22 12:29:39
0
user740079638858
mr Samuel :
penda sana asikofu wangu na EAGT Yangu!
2026-10-23 09:09:36
1
upendokalinga6
Masalia :
EAGT yangu, Kanisa langu
2026-10-24 04:25:28
0
williamnaiso
williamnaiso :
Amen ameen askofu wetu,, Mungu atukunze
2026-10-23 15:27:51
0
asante.ibrahim5
🛐ASANTE IBRAHIM SOLOMON 》🔥🗻 :
Ubarikiwe Bishop
2026-10-23 09:44:17
1
judyboniphace
judyboniphace :
amen baba
2026-10-23 17:23:15
0
To see more videos from user @eagtmlimwawest, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About