Ni TANESCO ndo wapo huko chini ukiwakaribia tu wanakuzimia kila kitu 😁
2026-10-23 04:44:26
3
David🦅 :
je unauhakika kweli vina zima
2026-10-22 17:40:43
3
Quan Quavoo :
wanitume mim niende
2026-10-22 16:02:06
1
Melisa Julius :
akitaki shuda[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 05:12:23
0
kinno. boy :
elimino iy
2026-10-25 16:52:58
0
sungura :
icho kitu nakijua kinaitwa NINI
2026-10-23 05:41:36
0
Arish .KJ :
nilifika apo aisee yani sio simu tuu kuzima ata kuongea tuu huwezi ukiwa pale kwenye icho kifaa
2026-10-23 04:03:15
0
𝐀𝐒𝐀𝐊 | 𝐒𝐀𝐋𝐄𝐇 :
2026-10-24 17:00:46
0
Mume Wadada :
weunaonje
2026-10-22 16:53:57
0
user3938148562357 :
pale kuna vitu hivi2
2026-10-22 22:56:55
0
Yohali M@ :
😂😂😂
2026-10-22 06:49:34
0
# Brian... :
Alien 👽
wanatumia Magnetic Protection weapon
kujikinga zidi ya uchunguzi wa kibinadamu...
ndomana wakikaribia ilo eneo vfaa vya Ivo vinazimika
...
2026-10-22 13:50:08
4
kb47 :
2026-10-23 14:30:48
0
madinaibrahim :
Kama wangeweza kwenda umbali huo bhasi hata meli ya titanic wangeitoa baharini ila imeshindikana hadi kesho kwasababu ya kina kilichopo,jombaa unazijua futi 300 chini ya maji kweli?
2026-11-01 00:43:49
0
richgang mrita :
sumaku iyoo mzee
2026-10-23 17:28:41
0
Zara boy be like :
habari za kuwapa samaki izo 😜😜
2026-10-23 19:21:40
0
bush_kid05☠️ :
Icho kitu ni doumbia plus Simba bro ujajua tu 😁😁
2026-10-22 21:47:36
0
bajaji_point :
kinaitwa Bombochrosea[Fire][Fire]
2026-11-05 18:40:06
0
Radii Saïd🏖 :
😁😁😁
2026-10-22 19:40:19
0
To see more videos from user @coach_mr.ej, please go to the Tikwm
homepage.