Zipo nchi ambazo unaweza kuingia bila visa mfano. Kenya, Uganda, malawai, zimbwabwe, mozambique. Pia kuna baadhi ya nchi unapewa visa baada ya kufika nchi husika
2026-10-24 20:38:18
7
lestidia t karan :
me sina chochote ira nipo uganda
2026-10-26 11:54:07
1
Jerome Kayanda :
kuna nchi haziitaji visa kwa watanzania kama sauzi uphilipino Bahamas
2026-10-25 11:47:25
4
Kasomi :
Kuna Baadhi ya nchi ni free Viza unaingia bila viza ukiwa na passport
2026-10-25 09:43:53
3
Samson Humbe :
Ni sawa ila passport ni namba moja kuliko visa
2026-10-28 18:58:32
1
Mrs abdallah65 :
nataka passport ya mtoto inawezekana
2026-10-25 11:43:03
1
Hassan kilimo :
ni haraka sio halaka ni rahisi na sio lahisi
2026-10-25 05:18:41
1
bad influence :
ili nipate pass port inabidi niwe na nini
2026-10-25 10:26:25
1
@nee-stationaries :
tuambie na tofauti ya hizo apo juu. blue, green na Maroon sijui red
2026-10-28 08:47:26
1
"D"A"P"R"O"😍🫶🫵 :
Asante
2026-10-24 20:26:53
1
Abdul :
shingapi passport ya Tanzania
2026-10-25 04:59:18
2
Obyoo Mtupesa :
passport bei gan
2026-11-01 06:26:30
1
Imran Fundi :
haya tafuta hiyo viza bila passport
2026-10-25 10:02:31
2
Ruth Gad :
unanisaidiaje
2026-10-27 11:09:46
1
Lucy Mwakaswila :
mm nahtaj passport
2026-10-27 11:56:51
1
Pius Kanuth :
napataje nipo kenya na mimi ni mtanzania
2026-10-28 14:24:15
1
BEST LOVE :
nawezaje kupata veza na passpotr
2026-11-01 07:47:12
1
Frank morani msanjila :
passport bei gani
2026-10-25 11:57:45
1
Jennifer James :
atuoni namba
2026-10-24 12:17:31
2
Lydivine🦋 :
swadakta 🥰
2026-10-25 05:28:14
1
marahadaudi :
so kama huendi kuishi huko yaani uko kimatembezi tu huhitaji viza?
2026-11-02 07:41:03
1
Slias :
👍👍👍
2026-10-24 20:24:10
2
Shaban Mhina :
🥰🥰🥰
2026-10-24 15:56:42
2
loyaltyera𐙚 :
🔥🔥🔥
2026-10-22 06:53:02
3
LOYALTY PRODUCTS :
🥰🥰🥰
2026-10-22 06:43:20
2
To see more videos from user @loyaltyera, please go to the Tikwm
homepage.