mtumishi unasema physics concepts ambazo ziko measurable(lift and thrust=force generated by propulsion) na zinafanya kazi kwenye real world
lakini kuna wanaotuambia waliamuru upepo usukume ndege ili wawahi kufika😔
2026-10-22 08:44:28
10
Ambele mwakalobo :
huyu jamaa yupo vizur
2026-10-22 07:23:59
20
joycewillium705 :
mbona kama darasan angekua mwalimu wangu huyu nisingefeli mtihan🤣🤣
2026-10-22 09:57:26
6
rodrick nick :
mchungaji wa physics
2026-10-22 09:55:23
4
philimon 0727 :
nice 👍 pastor
2026-10-22 10:15:31
1
SYLAS J Ruholi :
mchungaji wewe ni mwenzangu ki maisha 😪😪😪
2026-10-22 09:04:54
5
Emerald😍 :
nimeona Muslim apo
2026-10-22 09:54:50
3
Patrick 🇹🇿 :
Hakuna mtu atakaelala njaa 🤣
2026-10-22 09:30:12
4
bin bashe@99 :
leo ngoja nikufollow tu sina namna😎
2026-10-22 08:40:53
2
SIMON :
haya ndio mafunzo halisi ya kimaisha
2026-10-22 08:50:36
6
kevi jaki :
nime yapenda maombo lezoo yako kio ngozii bwana aku ongozee
2026-10-22 09:30:13
2
benny :
kwaiyo apostle hamasa za maandamano ziendelee
2026-10-22 10:44:19
1
Joanes Buberwa :
Dah!! kaka nimekupata sana, kama ni Karama basi unayo itunze sana🙏🙏🙏
2026-10-22 10:40:24
1
Majaliwa Masila :
unapitkan wp
2026-10-22 09:37:43
1
ISAIAH🦁 :
🔥🔥
2026-10-22 07:22:56
3
mwita :
asante kwa somo zuri.
2026-10-22 08:16:53
1
Display Gasper :
kama kuna mwalimu wa physics apa naomba tuwasiliane please
2026-10-22 09:08:33
1
Lucky mziwanda :
huyu ni mwalimu 😁
2026-10-22 10:45:57
1
Lucky :
somo kubwa sana mtumishi
2026-10-22 11:10:41
0
Evsamsonbenardmping :
Ubarikiwe nimekupata
2026-10-22 11:03:49
0
Pasalima Zawadi :
Hongera sana sana
2026-10-22 11:10:17
0
Gloire Nzeyi :
huuu 🇨🇩
2026-10-22 10:50:10
0
AKWINO FUNDI UMEME MBEYA :
UJUMBE MZURI SANA. NAONDOKA NAO MPAKA NITOBOE
2026-10-22 10:39:16
0
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm
homepage.