lesnie 056 :
enzi zake ,,ulikuwa unangia video room na mbao saa nne asubuhi unasema next,,,niivo hadi 10 usiku ukimalizia na movie ya kihindi,,,damn,,those days was awesome ๐๐๐๐,,,saa hyo umechafua mandazi ya 30 bob ukabakisha 20bob ya kutuma mwenye analipisha movie njugu na chipoo ya 10๐๐๐
2026-10-22 13:15:06