@saudaswai: KARIBU TIA MBEZI BEACH CAMPUS! Je, unatafuta elimu bora ya uhasibu, biashara na usimamizi? Taasisi ya Uhasibu Tanzania, TIA, inakukaribisha kwa furaha katika Kampasi yetu mpya ya Mbezi Beach, Dar es Salaam. TIA ni chaguo sahihi kwa maendeleo ya kitaaluma, kukuza ujuzi na kuandaa wataalamu wenye uwezo wa kukabiliana na mahitaji ya soko la ajira na ulimwengu wa biashara. Kupitia programu zetu za masomo, tunalenga kukuza maarifa, ubunifu, uadilifu na ujuzi unaohitajika katika kujenga mustakabali wenye mafanikio. Kwa wanafunzi wapya na wote wanaotamani kujiendeleza kitaaluma, hii ni fursa yako ya kuwa sehemu ya safari ya mafanikio. TIA Mbezi Beach Campus. Mahali pa kujifunza, kukuza vipaji na kujenga kesho yenye mafanikio. TIA. Elimu kwa Maendeleo. Karibu TIA Mbezi Beach!#Sauda swai Marketing Officer@TIATanzania

Sauda Swai
Sauda Swai
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 06:32:41 GMT
3535
78
8
64

Music

Download

Comments

mr_egghead77
Mr_egghead77 :
Jii ilikuwa IMTU sio
2026-10-25 20:10:17
1
moshitx1
ALLY 26⛎ :
cjaelewa
2026-10-22 19:11:14
0
worthgirl165
✨flO🥂💎 :
nashindwa kuelewa jmn nan anieleweshe kuhusu hii
2026-10-26 21:00:14
0
fobumusiq
Eng Fortunatus Rweyunga :
Fanyeni Renovation kwanza 😂
2026-10-27 19:08:41
0
sallypink_tz
ITZURRY_PINK💞💝 :
@Nimixel-255
2026-10-24 11:51:39
0
To see more videos from user @saudaswai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About