Kweli kabisa hicho kisa niliwahi hadithiwa na babu yangu mwaka 88, kama hivyo hivyo. halafu leo kuna watu wanataka kuivuruga nchi, ilhali hawana mchango wowote wa Uhuru.
2026-10-23 16:31:57
2
uzalekaima :
swadakta
2026-10-25 10:43:06
1
Abdul Hussein :
HONGERA KEPENZI ALLAH AKUHIFADH WENGI HATA HAWAJUI HAYA
2026-10-28 19:50:39
1
Hamis Juma :
Ahsante sana Dada kwa kuzungumza na sisi Watanzania Mungu akulipe kila la kheiry
2026-10-26 07:00:48
1
masangulagoa :
safi sana shukran hongera sana hakuna zaidi ya Amani tusidanganyane kabisa kuhusu hilo tutailinda wenyewe nnchi yetu kwa nguvu zetu zote hongera
2026-10-25 20:22:52
1
mati :
hao wote wapo serikalini sasa ulitaka walipwe nini
2026-10-22 12:11:55
0
malcomh :
Tuko pamoja
2026-10-22 20:54:31
1
To see more videos from user @shalwadesign, please go to the Tikwm
homepage.