mwanaume anamdhalilisha mwanamke mwngne ili akufurahishe ww ...ajue ye nae pia yuko njian kudhalilishwa ...alaf mwanaume wazima wale kaz kuchamba umbea tu 🥺
2026-10-22 07:24:25
183
Dee🦋 🦋 :
cha ajabu mke yuapost mume kwa account yake lakin mume ata mkono ajampost jamani nachoka mie
2026-10-22 09:02:04
51
❤️❤️ Mrs hussein ❤️❤️ :
Wataita ndoa tunayo na tunatamba nayooo😂😂😂
2026-10-22 08:49:37
23
@Rizwana002 💙❤️💫 :
mwisho utaskia alijitolea mahari 🤣🤣🤣🤣aya sina lawyer mwenzangu 🤣🤣🤣🤣
2026-10-22 09:58:07
32
Female alpha :
Hapo kuna mambo aya ✌🏻
2026-10-22 14:22:15
5
sweetjava72 :
Loya wako niko bussy kupanga harusi ya maya
2026-10-22 07:46:04
50
kimmysalim :
Toka nikujueee leo umesema la maana,chagua ile sodaa wataka
2026-10-22 09:36:51
29
Aisha Aryan Armia❤️ :
Ongeza Sauti😂😂niko pale chini ya mwembe
2026-10-22 07:03:49
16
zeybeb swahili dishes :
kipenzi nakupendea ivo tu msema kweli alfu wakiambiwa wajiafanya wakali wa comment na hasira tuko pale twasubri ss
2026-10-22 08:08:52
8
immha :
sijwahi coment haya mambo but mume c kitu yakurgia nao[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 08:26:01
9
Tasneem Mia💋 :
Nliyasema haya nkaambiwa niwache uchawi
2026-10-22 09:00:14
9
Ka'awa :
Mimi nilishasema nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume au niolewe na mtu ambaye kutwa anamuongelea ex vibaya na kumdhalilisha ex wake Naachana naye ,Maana wembe ni ule ule 😢🙌👂
2026-10-22 09:59:05
27
moyo wa subira❤️🥰💕 :
umejuwa kunisemea 😂😂😂
2026-10-22 08:22:07
5
💝Mic Barua :
😂😂😂aya nimejitolea kuwa mlinzi guys mwengineeeee
2026-10-22 07:27:54
7
مريم 🇸🇴🇴🇲 :
ushajiamulia mwenetu 😂
2026-10-22 07:08:06
7
Aunty wa Doha🇶🇦❤️ :
Tena mbaba wa qatar 😂😂😂😂😂
2026-10-22 08:22:37
6
DA BOBALITO💋🔥 :
kulia kupokezana waambie hao
2026-10-22 09:28:52
5
Mansiee😘 :
viumbe vina maneno matamu Sana ila Kwa mda mfupi Tu havikawii kubadilika ,wanawake tunapitia kila Aina ya dhiki mwenyezi mungu atupe subra n uvumilivu
2026-10-22 08:25:44
8
Beauty henna :
very true..ndoa ni stara ukipata sema alhamdhulillah.
2026-10-22 07:49:25
6
mummy :
Asante dada,huku kwangu mke mdogo kaingia na vishindo asema msipotunza waume zenu tutawatunzia,ukumbuke aliachika ndoa 2 lakini awe huyu atamueza,sina stress wacha ajienjoy mmi wala simfumbii,,,langu jicho sababu ndoa ya dawa haidumu
2026-10-22 12:40:36
12
Thumah Meddy❤️😘 :
Umeona eeeeh😂😂😂😂
2026-10-22 11:00:04
1
vishanga :
kabisa 😅
2026-10-22 12:17:04
1
by zeenat :
kweli my 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-22 15:11:00
1
king 👑 kiba :
WATATIIII
2026-10-22 09:39:51
1
To see more videos from user @mwanapili1055, please go to the Tikwm
homepage.