@taimediatz: Dotto Magari ameshindwa kujizuia juu ya kauli zilizotolewa na mmiliki wa Duka maarufu la kuuza Jeans, Room of Jean, anayefahamika kwa jina la Dominic Mmasy na kumtaka apunguze majivuno anapofanya mahojiano. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 06:56:11 GMT
Music
Download
Comments
Miss Mdoe-Og✨ :
Me lavuu you babuuu🥰
2026-10-22 09:51:06
23
Kenan :
Sema jamaa alienda mbali sana..anasema.watu hawajui kutunza fedha na namna ya kufanya biashara 😀
2026-10-22 11:11:35
7
Asimwe Melanin Mane🍍👩🦳 :
apo kuna mambo haya✌
2026-10-22 11:28:49
3
sabah🌹 :
huyu ndo babu yangu sasa😅🫶😍
2026-10-22 11:24:47
3
jackline :
Dotto jmn 😅😅
2026-10-22 07:12:12
7
sechu 1 :
2026-10-22 09:04:43
5
ecckyjohns :
2026-10-22 10:11:25
2
꧁♡ Ninollas....girly❤️🧕🏼 ♡꧂ :
Hahahahha nicheke mie
2026-10-22 12:37:33
0
Dr.Engineer :
Hayo majeans yake tusinunue tu
2026-10-22 12:33:46
0
Ms.GENTLE🧕♥️🔐 :
10/10
2026-10-22 10:03:03
2
Unknown :
🤣🤣
2026-10-22 12:30:45
0
sk msouth🤟🏾🇿🇦 :
Ila babu 😂😂😂
2026-10-22 12:01:14
0
paschalfundo :
mupe ukwerii babu
2026-10-22 11:07:13
0
penny outfits collections 🛍️ :
sure 😃
2026-10-22 11:22:43
0
Joan❤️🔥💖 :
ila😂😂
2026-10-22 11:29:22
0
tressj :
Kana sifa kwel 😅😅
2026-10-22 11:16:47
0
Kenan :
Kumbe yupo ndani ya Kampuni😀😀..
2026-10-22 11:08:39
1
gladness tido :
fact
2026-10-22 09:50:01
4
T.R.O.Y_22 :
Vunja bei yupo mda mrefu na anafanya mambo yake tu
2026-10-22 10:19:13
6
Thabiti mbehoma :
yan ndoshid ya yaawa watu wakimaliz kujipat tuu wananza kuwa washauli wamaisha yn kumbe bil ss wao wasing kuwa apo yn
2026-10-22 09:49:10
4
kush-boy14 :
Babu Hujuagi kupindisha Maneno[Tears of joy][Laugh approved]
2026-10-22 10:10:01
3
boss_babe🧸🫧 :
ila doto eti ujasoma kama me[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 09:59:14
2
mercy37 :
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....Magali👏👏👏👏
2026-10-22 10:08:31
1
IventPro :
😅Haya kwa mahitaji ya Kadi za kielecroniki zenye qr code na ticket karibuni tuwahudumie
2026-10-22 12:28:29
0
#Black Franch Tz🇹🇿🇲🇫 :
Babu daah umenyooka 😂🔥🔥
2026-10-22 10:55:18
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.