@maitimtarajiwa255: Replying to @magrethmgata615 #fyp #goviral #viral #fypシ

Maiti Mtarajiwa
Maiti Mtarajiwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 07:49:19 GMT
34930
3802
117
176

Music

Download

Comments

magicdancerbeel
Celin Axwesso :
I love you mom forever 😍
2026-11-18 17:47:04
0
mrs9701
careen❤️ :
tulokuw hatun Allah awafunik ktk vivul vyak ,amrehem mama yngh kw rehma njema inshaAllah 😭😭maish bil mama ni swh na maish bil wali😭subra minarrahman🙏🙏😭
2026-10-22 18:12:20
2
african.lady985
African lady🥷🫶🫣🫣 :
ivi huo mwimbo unaitwaje nasaidie kwa hilo
2026-10-22 09:10:42
0
johnmasula421
🌸🌸hawa mwaibula🌹 :
EEEH MUNGU NILINDIE MAMA YANGU NINA MENGI NATAKA KUMFANYIA🤲🙏
2026-10-30 21:48:48
2
dorinemarwa
Dorine Marwa :
Mungu naomba mpe Mama yangu Maisha marefu bado sijatimiza ndoto yake
2026-11-18 05:22:47
1
user4942560013846
baby cute 🥰💖💕 :
mungu naomba nilindie mama yangu
2026-10-23 17:44:45
4
user605303539727
🫰🫰Vee-charm❤🥰 :
hongeren wenye mam zenu wapo hai
2026-10-31 08:09:59
2
cwty.ninoh
🦋🎀 It's Pii 🦋🎀🥀 :
kwa Ambao Mama zetu wameshatangulia mbele za haki Mungu awape pumziko lililo jema
2026-10-25 01:59:08
4
husnasaid785
Husnasaid@78 :
Allah nitunzie wazazi wangu wote
2026-10-22 10:44:55
2
priscachibago617
SweetPrisca💖❤️ :
eeh Mungu nilindie mama yangu bado nahitaj aje kuona mafanikio yangu na kuxhiriki pamoj na yeye matunda nitakayoyavuna mwanae... Amina..
2026-11-13 13:00:03
1
joyce.malangila
JOYCE :
MUNGU nilindie mama angu
2026-11-18 16:59:32
0
love210313
da rasi :
😭😭nampenda sana mama yangu
2026-10-24 09:47:26
1
faidhatuki615
fey👌momo💦💦😘😘 :
mungu naomba nirindiye mama zangu wote
2026-10-27 19:00:23
1
user1235181546241
officially happy :
Ee mungu nilindie wazazi wangu wao ndo nguzo kuu ya maisha yangu wape afya njema na maisha marefu 🫂🙏❤️🫶♥️❤️‍🔥
2026-10-22 14:36:19
2
user2085599163503
jenny :
mungu nilindie mama yangu nampenda sana😍😍
2026-11-18 06:43:49
0
fetyslm
🦋Salmathcayat 💕 :
amiin
2026-10-22 11:48:57
1
zuuh_collection5
Zuu collection :
ewe mwenye zimung nilindie mama ang kwa kila jamb bado sijamfanyia ving san nakuomba san mungu wang
2026-11-18 00:49:43
0
ronaldotimo248
Ronaldo Timo :
amina
2026-11-15 04:28:01
0
johmadam5
Joh Madam :
kwer wee
2026-11-18 09:46:10
0
nadiyarajabu
pretty Nadia 🦋🦋🦋 :
Amina 🤲
2026-11-16 09:25:46
0
aishanguseka
Aim🧚‍♀️Aysher❤🌹 :
😭😭😭imiss you mom mung akupunguzie adhabu z kabri
2026-11-14 21:12:28
0
nasma85774
Nasma :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 ALLAH NAOMB UMPE MAMA YANGUU KAULI THABITI UKO ALIPOO 😭😭😭😭😭😭😭😔😔😔😔😔😔
2026-11-13 12:05:21
0
abdulkimaro463
king devon :
amen 🙏
2026-11-13 06:27:34
0
zaitunimasanja02
zaituni :
amen
2026-11-12 22:50:27
0
nallyallykidu
baby nash :
amin
2026-10-22 08:03:59
0
To see more videos from user @maitimtarajiwa255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About