ile vita tulishinda kwa uwezo wa mungu tu
maaana alituzidi
2026-10-23 04:04:24
19
sudi :
jamaa aliteka bendera ya ccm akijua ndo bendera ya taifa la Tanzania[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-23 11:01:10
1
Hans Ernest :
CCM walifanya Kaz ngum alafu ety anakuja mtu anataka achukue madaraka Kwa maneno maneno
2026-10-22 23:10:14
15
Brother L :
a few moment later 😉😉😉😉😂😂😂
2026-10-23 12:24:57
1
William :
Bora hata vita vya Uganda ilitokea enzi za mwalimu na General Abdalah Twalipo na kina Silus may unga maana ingetokea leo kipindi hiki cha Nkunda tungekuwa watumwa wa Uganda mpaka leo
2026-10-22 16:23:10
13
Aman Kasagula :
hiyo ni maigizo na huyo si iddi amini, movie ilitungwa na muingereza
2026-10-23 04:09:14
9
NABII SESHAHU :
Idd Amin alikuwa ameshinda tayari tulipata msaada kutoka nje
2026-10-23 07:20:27
7
feisagym1k6 :
hakuangamizwa na jeshi la Nyerere alipigana na nchi nne kwa wakati mmoja na waliokufa katika vita hivi ni vijana wengi kutoka Zanzibar acha kudanganywa ATI edi amin katolewa na Nyerere bila ya msaada kutoka china wa ndege za kivita mpka Leo mwamba angedunda
2026-10-24 03:31:02
1
47R4§H :
kumbe bendera ya Tanzania iliandikwa chama Cha unduzi 😁😁
2026-10-22 23:02:03
6
Zuhura Mvungi :
Duh kwel binadamu sio kitu hao wote pengine wameshakufa
2026-10-23 12:25:04
1
Mbaga Gold Mine :
dicteta idd amin dada alikuwa anasaidiwa na dicteta Gadaf vita ilikuwa nzito kilichotusaidia wa tz ni kuwa baadhi ya Vikas vya uganda viliasi vikaungana na jeshi letu. hii iliturahisishia vita sana. tulifagia sio mchezo
2026-10-23 13:24:40
1
rubenmaobe :
namuona mariyamungu
2026-10-23 05:44:23
2
Jeryson Jeremia :
I wish tungalikuwa na uzalendo kama huu nowadays!
2026-10-22 22:15:32
4
Rashidi Mashaka :
tulio muona EDDO LOWASA, tujuwane.
2026-10-23 08:39:22
3
MENTO LA INDIA OG🇮🇳 :
TUMUABUDU SANA HUYU MUNGU MANA ANATUPENDA MNO SISI WATANZANIA NA NDOMANA ANATUTETEA HATA KWA WALIO TUZIDI NGUVU
2026-10-23 19:31:59
2
ibrah... 😎 real life👍 :
daah hvyo vityu umetolea wp kaka
2026-10-23 22:31:10
1
ERASTO ERNEST :
Nyerere ni kiboko
2026-10-23 17:08:42
1
dmkali5 :
Idd Amin alikuwa mtu mwema sana, Kuna vtu tu cwez kuvisema nliwahi kuvisoma ndo chanzo cha yeye kutangazwa kama mtu mbaya
2026-10-23 13:29:48
1
Miyamoto Mshashi. :
ndiyo bendera ya Tanzania hiyo eti?
2026-10-23 02:06:27
2
Kenneth kaunda :
Bora ungeichukua tu hii nchi
2026-10-23 03:29:16
2
Tina Maila :
Watu wa zamani waliteseka jamani
2026-10-23 08:21:10
0
lon b :
2026-10-23 06:39:17
0
Karl :
km husemi Mimi nasema ni UISLAM
2026-10-23 20:28:19
1
freemind751 :
Uganda walikuwa vizuri, bila tanzania kupewa msaada msingeshinda
2026-10-23 08:54:34
1
Seth Freaking Rollins :
huwaga hakuna mechi za marudiano ..hili dabi lirudiwe😅
2026-10-23 04:57:20
3
To see more videos from user @marce_media, please go to the Tikwm
homepage.