@jamiivoice_: HABARI: Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amekutana na madereva wa bajaji pamoja na wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga, kwa lengo la kuzungumza nao na kusikiliza changamoto zinazowakabili. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Kabwe Jijini Mbeya mchana wa leo, Oktoba 21, 2026, madereva bajaji na machinga wametaka wenzao wanaodai kukamatwa na Jeshi la Polisi waachiwe ili waweze kukutana na kuzungumza kuhusu changamoto zao. Wamesisitiza kuwa mazungumzo ndiyo njia ya kutatua tofauti zilizopo, wakieleza kuwa amani hailetwi kwa nguvu za silaha bali kwa kusikilizana na kutafuta suluhu. Akizungumza na wafanyabiashara hao, Mwalunenge amewataka madereva bajaji na machinga kufuata utaratibu, huku akiahidi kufikisha maombi yao kwa viongozi wa Serikali ili changamoto zao ziweze kusikilizwa. Mgomo wa madereva bajaji jijini Mbeya umeingia siku ya tatu leo, huku madereva hao wakiendelea kusitisha shughuli zao wakishinikiza Serikali kusikiliza na kushughulikia changamoto zao.

Jamii Voice
Jamii Voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 09:24:22 GMT
179444
8067
230
197

Music

Download

Comments

sele.boy.558
sele boy 558 :
imagine mbeya iwe karibu na arusha
2026-10-22 12:16:06
110
user1652615186992
benny :
mbeya wako mbele sana aisee
2026-10-22 10:07:03
61
jvsony
Mwilonga Jr :
mbeya city standup
2026-10-24 04:15:03
0
jemo0865
jemo :
mbeya ndo Kuna watu wenye akili timamu
2026-10-22 13:29:53
79
toney.willium
TONEY wIllium :
green city mabegani🔥🔥🔥
2026-10-24 03:13:01
0
john.deer2936
John shaser :
inatakiwa nchi mzima iwe hvi
2026-10-22 10:43:08
54
robatimazengo
Robati Mazengo :
safi mbeya tunaitaji kuona zaidi dar Arusha mwanza ifate najiji la wagogo
2026-10-22 10:11:20
57
blackmodel825
Ney Cheetah🐆 :
ila wanyakyusa😅
2026-10-22 15:14:27
20
khamis.mpili
Khamis Mpili :
tushachoka💯 uo ndo ukweli
2026-10-25 11:23:48
2
nicolaus_barnaba
NICOLAUSBARNABA :
Hii kesi iliitulie Sugu aende kuongea na washikaji zake Mbeya
2026-10-22 10:57:59
24
mziba.cash.point
Mziba cash point💰💰 :
mbeya mko mbele ya muda😂
2026-10-22 11:16:55
13
user7483371506610
Latifa Jonathan :
mbeya kama kenya jaman nimemis nyumban
2026-10-22 11:34:29
8
obed.charles1
Obed Charles :
mbeya vijana nawapenda wanaumoja, Sasa ingekuwa kwetu mmhh
2026-10-22 10:18:27
15
tanzania2384
tanzania :
mbea oyeeeeeeeeeeeee🥰😁
2026-10-22 13:13:03
3
user9962252715200
TK JACKSON :
watanzania inabid tuwe wamoja km ivi saut iwe moja
2026-10-22 12:23:00
10
kabaisa786
kabaisa786 :
Safiiiiiii kabsaaaà mbea
2026-10-22 10:50:10
7
zerathomy.15
📍❤Ma Mkali❤📍 :
vijana wangu wa isanga wako moto
2026-10-22 11:58:28
6
jayden_boe
Jayden_boe💔💔 :
imagine mbeyaa iungane na kenya iitwe mbenya
2026-10-23 20:16:33
1
londi.masele
Londi Masele :
katiba mpya
2026-10-22 10:16:51
6
nurudin.isaka
Nurudin Isaka :
watu hawaskilizwi ndo maana wameamua haya unayouaona
2026-10-22 10:08:49
5
swidiyq.dauda
Swidiyq Dauda :
safi sana mbeya tutetee ugali wetu kama wao wanavyo fanya
2026-10-22 12:35:39
4
egsho2
EG SHOP :
fulaha yangu kuzaliwa mbeya 👍👍👍
2026-10-22 13:19:09
4
daudi.jr12
Chrispin Jr05 :
tarh29 adi kielewekee tunataka katiba mpy
2026-10-22 15:29:35
4
madam.don36
Madam don :
sana wanenetu mko mbele ya mda
2026-10-22 13:07:37
1
26doney
Doney 26 :
Mbeya Mara na Arusha zikiungane pamoj kitawak Tanzania
2026-10-22 19:11:35
3
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About