@selphix_media1: Coy Mzungu ni mwigizaji wa vichekesho, mjasiriamali wa burudani, na mwanzilishi wa jukwaa maarufu la kusimama na kuchekesha nchini Tanzania linaloitwa Cheka Tu. Pamoja na Dotto Keto, anayejulikana zaidi kama Dotto Magari, ni mfanyabiashara maarufu wa magari na mshawishi wa mitandao ya kijamii (brand influencer). Wote kwa pamoja wameshindwa kuvumilia kauli alizozitoa Dominick Mmasi, Mkurugenzi wa @room_of_jeans jijini Da r es salaam. Je, walichokifanya ni sahihi au wamemtafsiri vibaya? Selphix Media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media kupata taarifa nyingi Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zaidi #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktrending #tiktokviral #dodoma
Kwani kosa lake ni nini kusema alianza na ml 230? Au mi sijaelewa
2026-10-22 11:12:22
443
katarina# :
ila wahaya
2026-10-22 10:48:49
84
blacque vannillah :
Mimi nina million 700 kwenye account yangu nasubiri ifike billion 1 nianze biashara
2026-10-22 11:46:28
210
G-Greyky ❤️🦋💫 :
Uniyaaaaaaaaaaaaa......😂😂
2026-10-22 10:54:00
323
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
Namkubali sana jamaa kaongea ukwelii biashara zakusema umeanza na elfu 50 alafu baada ya miaka miwili 2 unamiliki range huo ni uongo kabisa bora kasema ukweli
2026-10-22 12:10:17
53
Tech Master 🛠 :
Inaitwa reverse psychology na imetiki [Cool][Tears of joy]
2026-10-22 18:09:59
0
MHAFIDHINA :
mkono gitaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 18:46:52
0
service :
🤣🤣🤣 kijana ana sifa yule khaa
2026-10-22 11:07:59
97
Fizzo Dls :
Mnaweza kusema babu ana maneno ila anaongea ukwel
2026-10-22 12:50:52
109
Thereal🥀fatma🌹 :
Ila babuu anamaneno nyie😂😂
2026-10-22 11:28:25
132
pwani_rose :
mkono wa gita[Tears of joy]
2026-10-22 21:27:53
0
NESTORY NKWABI :
hapa amekaa kama baba siyo chawa tena nimependa hii
2026-10-22 11:38:20
60
madame :
jmn mnaoandikaga hiz update tumechoka mnavyochapia hasa MMAS ndo nn [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 18:49:20
0
smiling001😍😍 :
Hii Eljuaa inachoma jamani jamani au mnasemaje
2026-10-22 11:11:39
53
~p"salon%100✍️ :
jamn simtukoposhe🤣
2026-10-22 19:19:32
0
abdul 🇹🇿🇳🇬 :
mbona ham comment sound😂😂😂
2026-10-22 17:30:32
0
MTANI :
Babu yupo Sahihi sana
Game linaweza change any time
harafu wabongo hawachelewi kukunjaa
Tunayaona huku mtaaani Kaka
2026-10-22 11:29:28
31
Olaedo🍀 :
mimi namuamini mtu akinambia alianza na biashara akiwa na 200m kuliko mtu anambie nilianza na 100k, huyu wa 200m naamini sababu anaweza kuhongwa, kuiba, kutapeli sio wa 100k eti kazalisha ikafika 100m nyoo
2026-10-22 13:04:14
44
Lucia Benedict :
yani mm kanipa hasiraa
2026-10-22 11:32:52
46
princess 👸 tiffah :
😂😂😂😂😂 duh aisee
2026-10-22 11:08:47
16
julian :
umemfundisha vizuri kabisa huo ndio ukweli
2026-10-22 11:25:25
17
❤TAJIRI SHAMY😎 :
doto namuelewa😅
2026-10-22 11:29:59
17
@G.Star :
zt
2026-10-22 11:16:47
7
fridah2754 :
msameheeni
2026-10-22 11:04:43
11
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm
homepage.