@habarimpya_tv: Kumbukizi ya Utendaji kazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa alimsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Alphonce Sebukoto kwa kuidhinisha malipo ya mil.279, kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Anthony Bahebe kwenye akaunti yake binafsi kwa kazi ya ukandarasi wa Daraja.
Tupige kelele jamaa achukue form 2030 sauti ikiwa kubwa itawezekana.
2026-11-20 07:03:05
1
benny :
kama taarifa ya polepole ni sahihi basi walinzi wa magufuli mlitukosea sana jamani Bado tunaumia sana.
2026-11-21 05:24:20
3
Cancellor Totti :
Angekuwepo Magufuli lakini kwa Kipenzi cha Mwijaku hii ni kazi bure
2026-11-20 10:24:10
1
msafirimwambela71 :
natamani sana ungekuwa rais wetu rabda inchi ingejenga hata bara bara
2026-11-21 06:24:18
1
JOSHULE :
Alikuwepo
2026-10-22 19:57:14
1
Shilla Haonga :
Waziri mkuu mwenye mamlaka yake binafsi nakumiss sana
2026-10-22 11:59:17
4
|Son ⭕️f Man| :
Bado naendelea kusema “Ndugu na wazazi wetu wanatupatia laana sana za kifamilia kwa jinsi wanavotenda huko makazini na sehemu za utafutaji kwa kuumiza watu namna hii na kutokuwa waaminifu..” Hii ni nini sasa ndugu zetu mnaiba mpaka mnatajwa majina na mkuu wa nchi 🥺 mbaya sana hii kwa ukuaji sio tu wa nchi Bali hata familia haibarikiwi kwa namna hii.
2026-11-20 09:08:37
0
mwarabmweusi :
apewe nchi bila hata uchaguzi
2026-11-20 18:36:53
0
Magessa a.b.d.n :
2030 majaliwa
2026-11-20 21:13:33
0
John Mahundi :
dah ilaaaa......🤔
2026-11-20 20:35:44
0
gabrielsaelie :
Huu ulikuwa uongozi
2026-11-14 08:18:04
0
Jahazi Soepeter :
nakupendaga sana majaliwa nakuona kama nabiiii alieshushwa namungu kwajir yetu
2026-10-22 19:02:04
2
Hermani poo :
aisee @
2026-11-20 09:11:03
0
Mtukufu Mohamed :
kwani uyumwamba sheria amruhusu kugombea kiti
2026-10-22 14:45:53
1
Francis Anthon changare :
ishii sana mweshimiwa
2026-10-22 19:10:25
2
Katibu :
kulikua hakuna maigizo hata chembe hapa
2026-10-23 09:23:03
0
sylvanus sakumba :
Dah
2026-10-22 09:57:32
0
𝑀𝐵𝐼𝑆𝐻𝐼 𝐽𝑅⛑️ :
2026-11-20 12:22:24
0
cherry :
Mheshimiwa waziri mkuu, Mheshimiwa waziri mkuu,.......... Mheshimiwa waziri mkuu [Tears of joy][Tears of joy]