@mr_mifupa: Mguu umevimba..!? Wengi wanasema “ni uchovu tu.” Kumbe kuna sababu nyingine. Hizi hapa ni sababi 5: 1. Chumvi nyingi. Mwili unashika maji. Miguu inavimba. 2. Kukaa au kusimama muda mrefu. Damu inashindwa kupanda juu. Maji yanajikusanya miguuni. 3. Figo au moyo kuwa na shida. Hii ni hatari…. Uvimbe wa miguu ni dalili ya mwanzo. 4. Arthritis au gout. Viungo vinavimba na kuuma…. Mara nyingi huanza kwenye kifundo cha mguu. 5. Dawa za maumivu na dawa za magonjwa ya kudumu. Baadhi ya dawa za presha na maumivu zinaweza kuvimbisha miguu. Usiache dawa mwenyewe. Muulize daktari. Uvimbe unaoendelea siku nyingi si wa kawaida. Kama haupungui, tumia JOINTPACK Usisubiri mpaka uwe mkubwa. Umewahi kuwa na miguu iliyovimba? Niandikie hapo chini neno “MIGUU”👇