Mamaangu alikuwepo humo 😭😭😭. Mungu mwema ametoka hai. Tunatibia majeraha😭😭🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-23 07:55:30
13
Ezzy Eddy :
ushauri wangu malori yatengewe bara bara yao basi huenda ajali zitapungua barabaran tunaomba Kwa heshima tuu serikali yetu itujengee barabara za maroli tuu yajitenge tafadhali sana
2026-10-23 05:40:23
33
user87315488134923 :
Shabiby naikubali sana chakwanza hazipatagi ajali hovyohovyo
Ila kiukweli kila ajali utakuta lori linahusika, serikali ichukue hatua dhidi ya malori ikiwezekana yatengewe barabara zake au muda wa kutembea maana malori ni tatizo kwenye nchi hii yanamaliza sana watu barabarani
2026-10-23 08:15:51
1
keny :
Hawa Matajiri wa Ma Bus waungane wanunua Ndege za kutosha Nauli za ndege zishuke watu wasafiri kwa Ndege ni Salama zaidi kuliko Ma Bus, Japo napo ajali inaweza tokea lakinj kwa uchache sana na hilo litaokoa maisha ya wengi.
2026-10-23 06:58:00
5
KIVITU STORE Toroka Uje MAHND :
kuna vifo?
2026-10-22 14:12:19
7
Karoli Magana :
kwa hii picha naona wa bus ndo ka overtake bila kuchukua tahadhari na dereva wa Lori alijitahidi kutoka nje ya barabarani kuepusha madhara yasiwe makubwa zaidi japo alikuwa kwa side yake sahihi halafu nasikia yeye ndo kafariki daaah inauma sana
2026-10-23 06:25:48
5
@@@@@ :
mpaka naogopa kupanda Tena shabiby
2026-10-22 23:55:33
1
Zujati paulo :
niyalini
2026-10-22 14:49:31
4
mtutasayuni :
ajali yakutisha kabla yamajinja ilikua yashabibi eneo Hilo laigawisenga watu walikufa vibaya mno ikapelekea Habibi kuondoa Magali songea Leo tena eneo nihilohilo😭😭😭😭
2026-10-22 18:48:41
3
Judie's Kitchen Mwanza :
ila shabiby mmhh🙌🙌 ilitusababishiaga ajali morogoro.. ilifanikiwa kupenya ikaoshaa mazima... tulikaa hapo masaa 5 msababishaji hayupo🙌🙌🙌
2026-10-22 21:52:29
3
Neyjohnson :
Jaman ili lawap?lile la Mbinga au maana adi nimelia😭😭😭 safali zangu Songea Dom ni shabiby tu
2026-10-22 19:47:24
2
piness trisan :
mbona naofopa kusafl
2026-10-22 21:05:31
0
samsonilukosi :
wapi tena jamn
2026-10-22 19:47:40
0
laghtines🫀🫀 :
Wapi uko jamn
2026-10-22 19:13:46
0
Madam D 🥰 :
wino hapo😭😭
2026-10-22 14:10:56
0
Magulu Nnyondo :
kwani loli lina shida gani over teki au so sad..
2026-10-23 06:57:26
2
yusuphkive296 :
madeleva tujitaidi kuieshim balabala yasongea ita tumaliza jamani😭😭😭😭
2026-10-22 22:05:23
4
venac :
Niya lini iyo kaka
2026-10-23 06:40:14
2
M T U M I S H I :
hii Shabiby ilikuwa mwendo sana ilitupita chamakweza-chalinze jana usiku trh 22 oct
2026-10-23 08:58:13
1
Anna🤑 :
mim naomb watu kabla hamjasafiri muanze na maombi muiombee safar yenu mumuite Mungu kwa nguvu wala msione haya kwa watu
2026-10-23 07:43:24
0
To see more videos from user @officialstivu, please go to the Tikwm
homepage.