@drivekishua: 😂😂😂😂😂#Drivekishua #safirisalama #jukumuletu #howtobookdrivekishua #dodomatanzania🇹🇿

DRIVE KISHUA🚘
DRIVE KISHUA🚘
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 10:04:47 GMT
42982
2897
364
270

Music

Download

Comments

donatha7532
Donatha :
hahahaaaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] hapa nndo linaanza mtakua kaukau[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 12:14:28
0
chelseadominiki
chelseadominiki :
kazi take tunaiona mashallah
2026-10-22 14:34:50
0
mcnova96
December Boe🌲☃️ :
hiz bark wapew n wengn
2026-10-22 18:39:58
0
irenesam3
Irene cosmetics 💄 :
MOROGORO mje mseme wenyewe😂
2026-10-22 14:19:15
34
kendrick_sumar45
Kendrick sumar👽 :
JUA LINAWAKA DODOMA KITAIFA🔥🔥
2026-10-22 17:54:28
37
momah_fragrance
momah >> ᥫ᭡🧸 :
Jua la saa mbili asubuh lile halina vitamin D na wasiwasi😩😂
2026-10-22 12:09:04
135
nasmer.suleish
Nasmer Suleish :
Linachoma ilo😂🙌
2026-10-22 21:38:23
0
martha.julius626
martha💓✈️ :
punguza malaika wapelekee na mwanza tutakufa sasa dom[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 20:19:48
2
.ley263
🦋 ley 🦋 :
kazi anaifanya vilivyovyema na kwa uaminifu sana ukitembea unaskia ile sauti ya zinabondwa huku tunanyonga🤣🤣🤣🤣
2026-10-22 12:17:54
36
itsdocas
Docas🦋🦋 :
Sio poa hadi feni inatoa upepo wa moto
2026-10-22 17:40:19
33
neemahassan992
❤️Nemy-royale :
liki fuatiwa na la arusha😅
2026-10-22 10:08:39
21
mosekhalifa
mosekhalifa ♒️🧿 :
juzi nilikuwepo huko yaan mtu anakuangalia unaweza sema ana cheka kumbe siyo😂😂
2026-10-22 15:10:03
17
reginageorg2
Regina👸 :
Mpaka tunatamanii kuhama mkoa kila pahala pamoto 😅
2026-10-22 14:00:24
8
munt.wami51
𝑚𝑢𝑛𝑡𝑢𝑤𝑎𝑚𝑖🤎🖤 :
aki😭😭na ikifika usiku barid interrupt from nowhere 😂
2026-10-22 11:57:45
4
marietha.anatory
Marietha Anatory :
Arusha Baba punguzaa🙌🙌
2026-10-22 11:06:09
12
hypotinishergirl
✨️Nesséva 💎 :
kwenye list usisahau mbeya pia tuko kikaangoni 😂😂
2026-10-22 12:00:18
6
maryanminja
Mariana Minja :
Kuna Shinyanga, Jua ziko mbili huku🙄
2026-10-22 16:52:13
8
joyce.ngowi7
Joe :
Jua la saa 3 kama la saa 9 alasiri🙌🙌😂😂😂
2026-10-22 11:18:26
4
deebeauty041
Dee collection :
Wallah jua Kali km linatak kudondoka 🥺
2026-10-22 12:13:23
2
its_razaque_26
razaque :
😂😁Makofi Tafadhali
2026-10-22 15:05:33
2
kaskazin3
🦋oficial🦚 :
yani ata naogopa kwenda sehemu 😅😏
2026-10-22 11:26:57
3
user8331722962633
aim mziray :
kuna huku kwetu mpak tunaona jua si letu n la nchi jiran😂😂
2026-10-22 14:43:14
0
llizzy39
Lizzy 🩷 :
Bhas tuseme mikoa yote jua kali😂😂
2026-10-22 12:13:13
4
nusra.068
Nusra sparkle en shine :
Daah malaika watusamehee jmnii
2026-10-22 11:27:51
0
To see more videos from user @drivekishua, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About