walimu wa madrasa waekewe mkakati wakulipwa mishahara🥺kuwe na usajili maalum au vyuo vya kufundisha dini pia
2026-10-22 16:00:16
9
user9097684609743 :
AHSANTE DR. MWINYI
2026-10-23 14:26:09
2
hamidambeguzuberi :
mashaallah allah akutunze baba
2026-10-23 03:49:39
2
Arif Shatry :
we kiongozi sijapata experience in ma entire life 😂
2026-10-23 06:37:53
0
Hamdani :
Ahste Mh
2026-10-23 12:38:48
0
asroja :
Hongera Baba Hussein Mwinyi Mwenyeezi Mungu akuhifadhi akulipe kila la kheir InshaAllah.
2026-10-23 18:27:19
0
user4818094159734 :
happy umetuweza
2026-10-23 11:01:19
0
user587734969919 :
Uishi maisha maref Muheshmiwa
2026-10-23 12:56:30
0
SHIA AUTO GLASS OG. :
Hongera sana mkuu
2026-10-23 07:03:05
0
babu :
mungu akulinde na mahasidi umalize mdawako kwa kukumbukwa Emma ambayo waloondoka hawakuyafikia usisahau nasi wazee badala ya 50000 tuongezewe.asante
2026-10-23 03:24:28
0
Sally💕 :
rais makini
2026-10-22 12:59:00
0
user2057861212757 :
asante
2026-10-22 18:29:24
0
lil suk :
salaleee
2026-10-23 04:22:47
0
Dreamy Girl 🎀 :
baaas mitandao akiba
2026-10-22 15:59:42
0
MonkeyEddy Rashid :
Ss Ambao tuna fanya kazi kwenye Company Binafsi TUNAUMIA KWELI .MSHAHARA WETU WA KIMA CHA CHINI NI LAKI 2 BABA MWINYI WALA MIKATABA HATUPEWI . Tuma Waangalizi wako Baba Mwinyi Utajionea .Asante sana Matumaini yetu kwako Mr President
2026-10-22 15:04:15
0
DIRECTOR ISCO FAKAL :
muheshimiwa vipi kuhusu sisi madereva wa privert hire tulioamua kujiajir ikiwa mpka sasa kila kitu kipojuu makodi kulingana na utofaut wa kazi zetu tunaomba utuangalie kwa macho mawili tunakufa njaaa huku
2026-10-22 16:43:06
0
wisemom :
jazakallah khairy baba
2026-10-22 16:37:48
0
Great :
Allah Akikufikisha uko
mwakani
2026-10-23 21:23:37
0
Salma Dachi :
Mashaallah pambeeee Baba Mwinyi
2026-10-22 16:59:16
0
Mizani_ya_Imani :
Huu ndio uongozi.
2026-10-23 02:54:52
0
To see more videos from user @farouqkarim7, please go to the Tikwm
homepage.