@brightherbs.tz: #MamaMjamzito #pregnacy #PregnancyTips #PregnancyJourney #PregnancyCare

Bright Herbs 🌿
Bright Herbs 🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 10:36:08 GMT
24100
836
38
34

Music

Download

Comments

mariamu.skhemu
Mariamu s khemu🫂❤️ :
mtt anacheza wiki ya ngap
2026-10-22 11:00:53
4
finna.bob6
Finna Bob :
usiku
2026-10-23 20:29:09
2
princessnana90
Ms B🦋🌸 :
Me mchana anacheza siku nzima ila nikilala nae analala nikiamka nae kaamka 😂🥰
2026-10-25 16:28:08
2
kabinti_special_
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
Mbona wangu mchana ndio ana Cheza na usiku Kwa mbali asubuh Lazima aniamshe
2026-10-23 12:45:47
3
bestiq.store
BestiQ Store :
mim wangu nikiwa nasali tu lazima acheze sehem ya kuitikia sala namsikia anacheza Yan kama huwa nasali nae uwiii mungu niwaajabu sana
2026-10-23 19:39:03
2
mama_misambar
MISAMBA BAR MOTORS :
wangu anacheza kila mara yani kama nimebaba dancer😂
2026-10-22 14:18:28
3
mwanaisharamadha163
Mwanaisha Ramadhan :
mungu tusamimamie wamam wote
2026-10-23 18:20:53
2
shiko.shii28
shiko shii :
wangu anacheza sana mchana
2026-10-24 12:59:43
1
marysoka13
na :
wangu anacheza mchan Lakin so San usiku so San
2026-10-22 11:49:03
4
getende.daughter
Getende daughter 😘 :
Na ambaye anapunguza mijongeo ghafra shad ni non
2026-10-22 18:15:36
1
fatumaissa5961
fatumaissa :
Sasa mbona mim nikiwa macho tuu nayeye anakua kaamka anacheza iwe asubui au usku nikila nikitulia tu namsikia
2026-10-24 18:39:01
0
starzomeve2
Staż😋dom :
Wangu nikila wali maharage na fanta ni anaruka jaman huyu mtoto anapenda wali uwiiii
2026-10-22 19:14:37
1
zuu5393
zuu :
.Nina week 24 ila baby mtoto wangu anacheza Sana ucku
2026-10-22 20:54:54
0
faye4417
Nyargi boys 🌹❤️🌹 :
Mm huyu nikiwa nja kidgo tuu ivi ashaanza n nkikula kitu Tamu sana pia ako busy hahaha 😂😂
2026-10-24 03:43:55
1
julitha.wilondja
Juju❤️💕 :
🥰🥰🥰
2026-10-22 13:32:53
1
To see more videos from user @brightherbs.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About