Mafuta ni kibeba nguvu ila shida unayatumiaje hata Daudi alipakwa mafuta tatizo watu wamegeuza ni biashara
2026-10-22 14:05:48
3
G.J.NYAMPANI :
hakika inaniuma hata kama Mungu bado hajaniinua viwango vya kumiliki mali za Dunia magari ,majumba lkn nitasimama na JINA LA YESU SI VINGINEVYO AISEEE MMMM HAPANA TUNAONAEKANA MAZUZU KITAMBAA M 1.6 MAFUTA ,CHUMVI ,UDONGO OOOOO MUNGU WA ISRAELI
2026-10-22 15:43:00
8
pure gold69 :
amina
2026-11-01 12:50:29
0
0693252161 :
kanisa la huyu mzee liko wapi
2026-10-23 04:52:16
3
Adela Pantaleo :
aiseeee ukweli wangu mimi Naona kama vile yesu analudi kesho
2026-10-28 19:49:25
0
darpromotions :
Basi wew ni chombo teule cha Bwana Yesu Kristo ubarikiwe sana
2026-10-22 15:42:31
2
Rachel@ :
Amen hii ndo injirii yakwelii
2026-10-22 20:31:00
2
mrgodlove Petro :
Ameeen eeh Yesu uwe nami maisha yangu yoteee
2026-10-28 19:40:48
1
JUSTINE MUHETO :
Mungu ongeza watumishi kam huyu 10 tu ndani ya Tanzania watu wako tutapona
2026-10-22 11:47:23
5
Inosent Gohahi :
asante mungu awaangazie nulu katika maisha yenu
2026-10-22 13:24:09
2
mamapendokids :
Amina baba tupo pamoja
2026-10-22 12:33:20
3
TRAVELLER 🇹🇿 🧳🌍 :
huyu ndo mtumishi ninayejifunza na kusikiliza mafundisho yake siku zote mzee magembe
2026-10-22 12:35:18
3
luzugarobert :
amen sanaaaaaaa aiseeee
2026-10-22 13:59:11
3
joh baba💯 :
sahiii
2026-10-23 06:06:49
1
kotecha :
amina
2026-10-23 07:49:56
1
4T fam. :
Mtumishi natamani hii huduma yako iingie ndani yangu mimi nimtumikie Mungu tu mimi
2026-10-23 06:48:43
1
Charles Mgonja :
Injili imenyooka sana hii ✊🙏🏽
2026-10-22 19:54:51
3
Rachelle :
Amina 🙏🙏
2026-10-22 12:05:38
0
sauti ya mtu aliaye nyikani :
amen amen
2026-10-22 19:55:33
1
0741621349 :
Amen Amen 🙏
2026-10-23 06:05:39
1
#@ blackpeople_#$+++@ :
amina
2026-10-23 07:47:59
1
Neemaharun :
Amina mtumishi wa mungu
2026-10-22 16:01:04
1
Siméon :
Alléluia alléluia
2026-10-23 07:40:02
1
zawadmussa3 :
hii ndio injili ya kweli,
lakini watu kama hawa huwa wanachukiwa sana kwa kusema kweli,
hatutaacha kusema kweli Yesu hana mbadala kabisa anajitegemea,
injili kamili ya Yesu ,,, lete mamilioni ya watu kwa Yesu,
2026-10-26 07:50:13
1
user6818609449785 :
Ameen Ameeen
2026-10-22 14:15:33
1
To see more videos from user @pastorjmwamahonje3, please go to the Tikwm
homepage.