Hakimu wa haki ni Allah peke yake huko kila mtu atapata haki yake
2026-10-23 05:38:43
24
yussuf3090 :
Ni mimi tuu niloumia Kwa maamuzi au kunawenzangu maana daa 😭😭😭😭😭So sad😭
2026-10-23 01:29:23
16
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Ndio maana siku hizi watu wanauliwa ovyo kwa sababu unapeleka kesi mwisho wa siku unamwona mtu anatamba barabaran nyie ndio chanzo wetu kuchukua hatua mikononi
2026-10-23 07:34:03
3
raisamussa :
alaysallahu bi ahkamil hakimiin
2026-10-23 11:06:36
2
Sabra :
tulijua tu atatoka soz wao wana watu... ila inshallah mhujumiwa yy ana mungu
2026-10-23 14:24:00
0
champion boy25 :
duh mahakama inajua maumivu alioyapata mtu alieshambuliwa
2026-10-23 04:37:17
3
Muna collection.23 :
wangesema wamemsamehe kua yy mwanamke na anawtto na kwakua alihukumiwa miaka mingi tunge elewa ila sio kusema ushahidi haukukamikika au Nia yake haijukikani
2026-10-23 05:04:44
3
ayasal product :
ila mung atawalipa wote hao
2026-10-23 14:42:53
1
tashma :
mungu atampa subra ishallh
2026-10-23 12:53:57
0
Dude khamisi Dude :
Tanzania Hatuna Mahakama za haki tuna mahakama Za pesa Mahakama z kulinda kesi za c c m .
2026-10-22 21:18:33
6
🦋pretty bim🦋 :
Bwana hakimu wa haki ñi Allah peke yake
2026-10-23 12:44:25
1
SWEET MUNNA Tz🇹🇿ZANZIBAR🏡♥️ :
mtihani huuu
2026-10-23 06:29:42
1
pretty girl 👧 :
looooh tanzania nchi yangu jmn doh
2026-10-23 04:33:25
0
Mwanahamis Shabani :
Mhhhh hakim ni mungu tu
2026-10-23 09:26:26
1
MUstamir 1Z :
dahhh watu washakula pesa hapo inaonekana wazi km kataka kumuuwa 😭😭😭😭 Tanzania nchi yngu mungu ibarik Tanzania
2026-10-23 05:11:40
3
Rahma tz :
Hamuja fanya aki kwakweli
2026-10-23 07:38:09
1
Muna collection.23 :
kikawaida mahkama haitoi hukumu mpk wajiridhishe kupitia uchunguzi na ikitoka hukumu bas hakuna ten uchunguzi Sasa ilikuaje mahakma ikatoa hukumu kabla kukamilisha uchunguzi mbn sijaelewa hio
2026-10-23 04:57:23
0
yussuf omar :
Hapa mm sisem chochote Ila ninachoelewa hukumu ya kwel inatoka kwa mungu hizi za Kutungwa na binadam huwa namadhaifu na hazifat haki
2026-10-23 05:25:50
2
loukmansuleiman :
mambo ya familia tu
2026-10-22 18:42:41
2
userMintahatihah :
Kumbe ni kweli hizi mahakama ya kisekula hazitoi haki,zinafuata utaratibu tu
2026-10-23 04:46:49
1
official luha11 :
mungu ndo kila k2 ila sio poa looo
2026-10-23 10:49:21
1
Abdul-Razak Khamis Juma :
ingalikuwa marekani duhh tushamsahau
2026-10-22 23:30:56
1
Zainab Dadi :
bila aibu jamani hizo sheria zinazo tungwa na binaadamu ogopo
2026-10-23 14:13:46
0
Z :
Aaa mimi nijua tu mahakama zetu hizi Ni MUNGU TU NDIE HAKIM WA HAKI.
2026-10-23 14:06:33
0
To see more videos from user @ayotv.update, please go to the Tikwm
homepage.