najikutaga sina shida kiviiiiile kumbe njaa karibu inimalize🤣🤣🤣
2026-10-22 11:37:24
23
queen :
sijui unakunywa soda gani nikununulie maana umejua Wallah[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-22 14:19:58
0
Tanga girl. :
yaaan huyu n mm jamni [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
huwa najifungiag ndan nangalia muviii had majiran wanauliza huyu dada yupo kwelii jamni nyiee group 0+
2026-10-22 14:20:07
0
braithon barack :
sihivyo tu awe ni firstborn wa familia 😃😃😃
2026-10-22 12:30:52
6
helpsuu_@ :
ndo Mimi simsujudii mtu hata kama Sina
2026-10-22 14:08:30
4
sabina :
😆😆😂yan kunyenyekea nina 0 kama group langu lilivo😂😂😂😂😂
2026-10-22 12:25:12
7
TA COSMETICS :
O+ shikamoo kiburi n 10/10
2026-10-22 13:44:08
4
sylvia 🥰🥰🥰 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]wewe wachana na sisi yaani ninyenyekee mbele za Mungu tena kwa wanadamu?hio ni Nooooooo
2026-10-22 12:21:45
0
miasree🍒🍒 :
ni kiumbe ana save namb ako pahali penye mmekutana
2026-10-22 14:13:20
3
Florence Nderitu827 :
never ever ever
2026-10-22 13:23:06
0
Angel hair styles :
Hatutaki
2026-10-22 14:17:55
1
pendofoxxy@255 :
nakuwa kama ninahela ila moyoni nawaka moto sipendi kupelekeshwa
2026-10-22 12:58:33
6
𝖏𝖆𝖓𝖓𝖎𝖊 🖤 :
hii hali inanitesa sana jamn
2026-10-22 12:40:32
1
reydaud :
Niko hapa nina ujasir Zaid ya man uniform
2026-10-22 11:38:10
1
Cetty Molly :
ndio mm hyo asee dah mpka kuna mda namwonea huruma mme wanguu
2026-10-22 15:46:23
0
Perry Theo :
kama group tu ni 0 unyenyekev wa nn sasa 😂
2026-10-22 13:34:13
1
siah lyimo💞 :
shobo ndo sina kabisa
2026-10-22 13:41:53
2
user76813681755935 :
Kaka hakuna kitu kibaya kwangu kama kuomba msamaha. au kupigiwa kilele.
2026-10-22 12:36:21
0
homie🍒🇳🇬 :
group 0 TV ❌ music ✅ au mnaonewa 😂😂
2026-10-22 14:20:39
1
bialov :
mwenzenu mimi shida sijawah kuiona kubwa wallah na wakati changamoto zangu nizakibabe
2026-10-22 12:06:54
2
zu baby :
nimemuach mt nimemuomba her amenyamaz ck namuachaa ndo na yy anauliz atume kwa no ipii ninashid ila kibur kinaniendesha htr sjamtaft kumuomba msamah wal her akitak ht wif yake anidisconect mm sijal
2026-10-22 12:47:42
2
💝mahusiano na ndoa🍹 :
siombagi kitu kwa jiran had nasemwa,na nikisema Kwa hili penzi sirud ama simsalimii mtu daima imeisha
2026-10-22 12:00:14
1
winifrida :
unakaa unatuchunguza Tu MDA wote jaman
2026-10-22 12:53:25
1
mama junior :
hapo kwa tv uko right,but music twende nalo😂
2026-10-22 16:05:48
0
Angel Peter :
kama ulikuwepo😂😂
2026-10-22 16:08:36
0
To see more videos from user @braza_wa_tiktok, please go to the Tikwm
homepage.