Baba katika jina la Yesu naomba niinulie watu sahihi watakaonizungumzia mambo mazuri na watakaokuwa upande wangu
2026-10-23 09:33:23
17
LASTBORN😍☺️ :
Ni maombi yangu niinulie Mtu wakunitambulisha mbele za watu niinulie Watu sahihi watakao nitambulisha watakao nisemea vizuri Napokea mtu sahihi kwa jina la Yesu Ameen 🙏🙏🙏
2026-10-23 06:29:24
9
Agnes Simon :
Amen naomba Mungu uniinulie watu watakao upande wangu
2026-10-22 16:23:00
11
Thelezia Ngala :
najiungamanisha na maombi haya naomba Mungu uniinulie watu wakaonisema kwa mema
2026-10-22 14:47:58
5
Sara :
Amen katika jina la Yesu kristo [Pray]
2026-10-22 17:24:02
6
Printmax Africa :
amen napokea na kuimani mungu ataniinulia watu
2026-10-22 13:36:21
2
treciousmax :
Najiungqmanisha na maombi haya Mungu nisaidie
2026-10-22 13:35:16
2
Lady Halima :
Ooooh Asante Mungu. Asante Pastor, umesema maombi yangu kama yalivyo. Ubarikiwe sana na nimepokea Amen
2026-10-24 04:23:36
1
Davidleon👑✈️ :
@Davidleon👑✈️:amen 🙏 eeh MUNGU naomba uniunilie watu sahihi katika mafanikio yangu watakao nitambulisha vzr amen 🙏🙏
2026-10-26 21:08:49
1
user9880338159409 :
Ee MUNGU UNIKUMBUKE NA MIMI, NIINULIE MTU MMOJA ATAKAE KUWA UPANDE WANGU, ATAKAE NIPENDA, ATAKAE NITHAMINI[Pray]😭😭😭😭
2026-10-22 19:39:09
1
Good girl :
Mungu niinulie mtu kwenye maisha yangu siku hii ya Leo baba yangu 🙏
2026-10-24 05:48:55
1
MISS LANDMARK ESTATE :
Amen
2026-10-22 11:43:54
4
calcel :
Amina Bwana niinulie watu
2026-10-23 20:04:04
1
Celebrityclipstz :
aminaaqa
2026-10-22 12:49:07
2
babygirl $$love :
group la wahatsup napatajje
2026-10-23 19:46:59
1
Judy 🥰🥰 :
amen 🙏
2026-10-22 21:31:17
1
Blessing Mwila :
Amen Amen Amen Amen Amen
2026-10-22 11:54:02
1
Mikaellazaro Lazaro :
katika jina la yesu kristo nainuliwa Amen Amen 🙏 🙌
2026-10-22 12:55:16
1
M@D@M R○$€M@R¥ :
AMEEN
2026-10-22 16:53:04
1
monica :
amen amen 🙏 napokea 🙏 🙌 ❤️
2026-10-24 06:01:13
1
Elvice :
Nipiganie mwokozi wangu
naamini itakuwa Kwa jina la yesuu
2026-10-22 14:05:17
1
simplymaggi4♎️ :
🙏🏽 amen napokea kwa damu ya yesu
2026-10-22 20:48:45
2
Babe :
Ameen
2026-10-22 15:40:06
1
To see more videos from user @maombitibabypasto, please go to the Tikwm
homepage.