@officalsamweli: Siyo kwa uwezo wangu, siyo kwa nguvu zangu, wala siyo kwa akili zangu, bali ni kwa NEEMA YA MUNGU Kama ningetegemea nguvu zangu pekee, nisingefika hapa nilipo leo Ni Mungu aliyenishika mkono akaniongoza, akanipa nguvu nilipochoka, na akanifungulia milango ambayo kwa uwezo wangu nisingeweza kuifungua. YESU ni wewe uliyenifikisha hapa nilipo leo! Sifa na utukufu ni wako milele. Mimi ni chombo tu, lakini neema yako ndiyo imenibeba Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa Roho yangu, asema BWANA wa majeshi — Zekaria 4:6

Samweli
Samweli
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 11:51:22 GMT
94651
7300
297
54

Music

Download

Comments

caristerg
carrie :
God is good all the time 🙌🙌
2026-10-22 17:55:35
1
ivonneyona
AUNT G :
ameeen[Pray]
2026-10-22 16:56:27
1
user9187313269549
mercy 🇹🇿 :
hakika bila yesu hatutoboi🙏🙏
2026-10-23 10:38:11
13
chosenhilary
Chosen Hilary :
Pesa haijifichi Kaka 😀
2026-10-22 14:53:27
60
mamumic5
mamy@2 :
kuna baraka huwa zinakuja baada ya kupata mke ambaye ni sahihi kwa maisha yako.....yote tumshukuru mwenyez mungu
2026-10-23 06:23:39
113
goldenlee0
goldlee :
the process 💯
2026-10-22 18:53:45
1
user4500981884927
MR.RACK :
Respect.🤞
2026-10-22 17:31:35
1
official_demba01
official demba boy :
respect bro 🙏🤝
2026-10-23 15:03:16
1
hadijapius
ukhty khadija :
upo mkoa gani au nch gn
2026-10-23 16:37:43
1
blvck_eddie78
@blvck_eddie :
Tutajua tu ukweli tukifika mbinguni😁
2026-10-23 10:31:50
7
mode_collection
Mode-collection🛍 :
FROM ZERO TO HERO🥹🙌
2026-10-22 17:27:15
60
veronica.galuc
Lulu G🥰🥀 :
Mbona kama nakufananishaa🤔🤔
2026-10-23 15:43:04
1
cite978
Tausi Pacha :
mmmmh hii ni IA
2026-10-23 15:15:04
1
m8854454
m🤲🥰 :
kaka mungu akuzidishie zaidi
2026-10-23 14:49:45
1
user8152251732303
Rey570 :
kwelii Yesu nimekunyooshea mikono
2026-10-23 14:39:25
1
petrovaileth03gma
Mrs HUSSEIN ❤️ :
inshallah vmwenyezi mungu amjaliye Hussein wangu naiman atatoboa🤲😭😭😭😭
2026-10-23 13:17:39
1
j.baby8975
call me J :
Jamani ninawazo mnaonaje tuanmchane na live zamama mkwe zakutafuta wenza sahihi tujianzishie wenyewe apa apa unaandika Jina lako afu tunakutana inbox 😂😂😂Mimi ndonishaanza naitwa.. Natokea... Kalibu nawengine 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-10-23 12:58:11
1
officiallizzy19
official lizzy :
GOD is GOOD🙌🙏🙏
2026-10-22 22:18:06
1
beatricevetgel1
Beatricevetgel🌹 :
Coment nying mnasema kuna kitu ameruka nauliza tuu sisi wa MUNGU hatuna haki yakubarikiwa??? Je utajir wote niwa nguvu za giza???
2026-10-23 05:04:28
5
de.bad_
🍁De Bad🫰🍁👑 :
Mimi sio maskini
2026-10-23 13:31:13
1
denisnkwera175
living stone :
watasema aia
2026-10-22 17:41:26
1
paulinecollection1
Pauline mlelwa :
mkiambiwa trust the process muwe mnaelewa😅😅😅
2026-10-23 15:24:24
1
grecy.yuda
Grace ofical tz :
god
2026-10-23 04:16:00
1
msafi_7r
7r🚛🇹🇿🇿🇲🇨🇩 :
kila hatua dua
2026-10-22 17:41:53
1
karimunjari
Karim njari :
sana mkuu
2026-10-23 04:03:09
1
To see more videos from user @officalsamweli, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About