@ikram_poppe: Fatema Dewji siku chache nyuma aliandika ujumbe mzito sana akiwaomba wana simba kuwa na uvumilivu na mchezaji wetu @Ibrahim Dumbia sasa Dumbia kafunga tena kwenye Champions League Hii inatufundisha kuwa wavumilifua na subra ni muhi sana #simbasc #daresalam🇹🇿 #daresalaamtz🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿daresalaamtz