hapo yanga bora wajihuzulu tuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 06:12:46
0
zungu boy :
hap yanga wakitoboa sijui😳
2026-10-23 02:27:18
14
Unkown man :
AS FAR hayupo champion
2026-10-23 05:51:16
0
Sharon :
kama walikuwa hawataki timu za tanzania washiriki si wangesema tyu😌
2026-10-22 21:13:43
25
mwajabu h m :
janga la taifa ilo
2026-10-22 18:57:21
13
fredy poulo :
hakuna makundi ya hivo
2026-10-22 20:45:59
13
Annieh Swaih🇹🇿🦋 :
Nilichogundua yanga tim kubwa🔥🔥🔥💚💚💚💚
2026-10-22 20:17:46
6
NYANKIRIKI SR :
apo yanga na simba wajiandae kutoka maana sio Kwa hizo timu
2026-10-22 20:08:52
11
PEDRO Aloyce🔥 :
Simba anapita hapooo
2026-10-22 17:45:47
7
MR : Clever :
ok no problem
2026-10-23 00:20:07
1
dulayo boy :
kam yanga ndo iv mwesho wa leli ilo kundi ya yanga ngumu so poa🙌🙌🙌🙌
2026-10-22 20:17:16
3
F▪︎Certified☆ :
msimu huu mamelod lazima auze jezi kwa wingi tena😂
2026-10-22 20:52:36
5
Saleh Saleh :
Simba tunapita
2026-10-22 18:54:47
1
feisaljeilan14 :
wamepanga kutumaliza 😁🤣😂
2026-10-22 20:14:12
0
Mary boy :
si kweli
2026-10-22 20:13:20
0
Janet John wimana :
simba
2026-10-22 17:30:29
0
NYANKIRIKI SR :
simba na yanga hapo wajiandae ndo mwisho apo Tena kama yanga ndo Wako upande mgum had sio poa na ukiangalia performance Yao saiz niyamashaka yaan yanga apo Bora ijiuzuru tu mapema
2026-10-22 20:43:11
0
Christopher Isaka :
Yanga wapo poloti a simba b
2026-10-22 20:15:07
0
SmartLife Electronics Tanzania :
Simba
2026-10-22 18:28:07
0
NYANKIRIKI SR :
kwanini sisi yanga wanatukutanisha na ma melody sundown Kila siku kwanini simba wao hawakutan na ma melody 😥😥😥
2026-10-22 20:10:14
0
THE WOLF 🐺🐺 45 32 🛠️🛠️ :
yanga 💚💚💚💚
2026-10-22 17:11:27
0
momoo :
eeeehee simba yangu mungu atatujali ubingwa2
2026-10-22 20:14:48
0
P.BOY🦬🦬🦬⚽️⚽️ :
nilijuwa tu
2026-10-22 18:50:16
0
To see more videos from user @jofregnf4rf, please go to the Tikwm
homepage.