@officialjouma: Ndugu mmoja alimsikia mama yake akimwomba jirani yake chumvi kidogo. Akamwambia: “Ewe mama yangu, kwa nini unawaomba chumvi, wakati jana nilikuletea mfuko mkubwa wa chumvi?!” Mama yake akamjibu: “Mwanangu, ni kwa sababu wao mara kwa mara huwa wanatuomba vitu mbalimbali, na wao ni watu maskini. Kwa hiyo, nikapenda kuwaomba kitu kidogo kisichowagharimu chochote, ilhali kwa kweli sina haja nacho. Lakini nilipenda kuwafanya wahisi kwamba hata mimi ninawahitaji wao, ili iwe rahisi kwao kutuomba vitu wanavyovihitaji, na wasijisikie aibu kufanya hivyo!” #foryoupage #foryou #fyp

جمعة يحيى محمد
جمعة يحيى محمد
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 October 2026 12:59:40 GMT
1293
91
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @officialjouma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About